Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Habari za wakati huu jamiiforums.
Zamani walikuwa wanaitwa "mama ntilie" ila sasa ni "mama lishe". Kwani hakuwezi kuwa na jina la Kiswahili lenye staha kwa hawa dada zetu "barmaids"?
Binafsi ninaona kama wanasiasa wamewasahau sana hawa akina dada wanaotoa huduma kwa wateja kule bar. Neno mama lishe, kama sijakosea, lilianzishwa na mzalendo mwenzangu Hayati mzee B.W Mkapa (wahenga mtanisahihisha katika hili kama nitakuwa nimekosea) wakati wa kuelekwa campaigns za mwaka 2000. Sasa mbona nyie wanasiasa wa sasa mmewasahau hawa dada zetu?
SOMA PIA>>> Kuna haja ya Serikali kupitia wakuu wa wilaya na mikoa kuwabana wamiliki wa baa ili dada zetu wahudumu wapewe kadi za bima ya afya ya CHF?
Maoni ya mdau
=====

Kuna mmoja nimemuita kachukia, nikamuambia mfanyakazi wa nyumbani ni house maid, bado anakasirikia.