Zamani walikuwa wanaitwa "mama ntilie" ila sasa ni "mama lishe". Kwani hakuwezi kuwa na jina la Kiswahili lenye staha kwa hawa dada zetu "barmaids"?

Bar maid...a woman who serves drinks in a bar. Kwani hili jina ambalo linaeleza kazi yao halina staha?
Na mwanamme anaitwa
Bar Man....a man who works in a bar.
Kazi ya kwenye baa ni kazi halali kama kazi zingine; ni mtazamo tu wa mtu binafsi anaweza kuona kwamba hiyo kazi ni isiyofaa; kama ambavyo mwingine anaweza kuona kwamba baadhi ya kazi hazifai, kama mwangalizi wa chumba cha maiti, mchimba makaburi, mzibua vyoo, n.k.
Hebu jiulize, wangekosekana kabisa watu wa kufanya hizo kazi mambo yangekuwaje?
Badili mtazamo, kubali uhalisia; mtu ambaye haoni ni kipofu, asiyeweza kusikia ni kiziwi, asiyeweza kutembea ni kiwete, n.k; acheni kuremba.
 
Sawa mkuu
 
Kuna barmaid asiye whore?
 
Heeeeee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…