Zamani za Biblia za agano la kale walikuwa wanatumia calendar gani kabla ya calendar za Warumi?

Zamani za Biblia za agano la kale walikuwa wanatumia calendar gani kabla ya calendar za Warumi?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Kabla ya ujio wa Julian calendar 46 BC watu wa zamani walikuwa wanatumia calendar ipi?

Miaka ilikuwa inahesabiwa vipi enzi za Biblia ya agano la kale?

Walioishi miaka 900 ni kwa kutumia calendar ya miezi 12 au tofauti?
 
Ndan biblia soma ipo miez kbs mfano nisan ni mwez wa 3 upo mle na tarehe za biblia sku zlikuwa sawa kbs.
 
Back
Top Bottom