Zamaradi apata tabu sana baada ya kutomtaja Zari katika salamu za birthday ya Tiffa wa Diamond

Tom_Mbayeye

Member
Joined
Aug 3, 2018
Posts
15
Reaction score
17
Katika ari ambayo isiyoelezeka Zamaradi ajikuta akilabwa na Matusi ya Nguoni na Watanzania hii ni baada ya kumuWish Happy birthday@tiffa wa Diamond kwa kumtag@diamondplatnumz pekee bila ya mama mtoto@zarithebosslady.

Kwani aliandika hivi:
A very Happy Birthday to the little Princess Tiffah, MUNGU akukuze kwa kimo na maarifa na ukawe mfano katika mifano iliyo bora duniani, endelea kuwa sababu kubwa ya furaha kwa familia yako' Hongera kijana kwa matunzo na kuwa Baba Mwema kwa watoto wako @diamondplatnumz umekuza baba [emoji4]

Sasa napenda kuwauliza wanajamvini, Je ni SAHIHI kumpa salamu za Pongezi Baba wa mtoto au Mama wa mtoto pekee?
 
Yaweza kuwa sasa ndio boss wake kwa sasa ila haipendezi kwa kumtag baba pekee hata kama mama wa toto haumfaham coz Labour haiko kwa baba iko kwa mama so kama yamekuya hayo matusi wache anyooshe tu hakuna namna
 
Ndio hivyo tena kujigonga bosi wake na hana time na Mama wa mtoto.. ila kwa vipindi kupata kiki anahakikisha katajwa kila mara.. alizidi hadi Zari alipowapa somo la kujiongeza wawe kiabiashara zaidi na sio kuwa na vipindi vya udaku na uovyo..

Ila hayo yote ya kulea n.k. kama vile mtoto anaishi na baba ake muda wote 🤔🤔🤔angemezea mengine eeeeh

Atajiju
 
wabongo mnalana aise ao ndo ulimbukeni wa socialmedia ...kama hana mazowea na mamayake je?? kwani ni lazma ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…