Zamaradi ataja ujio wa filamu yake aliyoiandaa kwa Milioni 200

Kwe hiyo hela si unafungua studio ya kisasa kbs ya kutengeneza filamu hapa bongo, zama hapa anatupiga chenga ya mwili


Sent using Jamii Forums mobile app
Sema unatania!! Studio ya kisasa ya kutengeneza filamu?! Man, usichanganye kati ya film studio na production company kwa sababu studios are basically production companies but production companies aren't studios! Na tunaposema studio basi tunatarajia baadhi ya kazi zake (shooting) ziwe zinafanyika hapo hapo na ndio maana studio kama studio, na kwavile umesema "studio ya kisasa" basi tunatarajia iwe na set of buildings kuwezesha indoor film shooting.

All in all, nimemsikiliza Zamaradi! Kimsingi she's just a PRODUCER kwenye filamu husika, na ni producer kwa upande wa Tanzania! Ile filamu imehusisha crew members kutoka Tanzania, Nigeria na nadhani Australia! Nadhani na locations na zenyewe zipo kwenye nchi tatu. Kutokana na huo mgawanyo, basi Zamaradi ni producer tu kwa upande wa Tanzania na kwahiyo hausiki chochote na hizo 200M alizotaja!
 
Hawa wasanii unajua bado wanajua watanzania ni wajinga wa kukubali tu, nimeona baadhi ya vipande vya hii movie kwa utaalamu wangu mimi ni filmmaker nimeona ubora wa picha ni ule ule wa kawaida mpaka hapo nimetosheka kujua budget yake haifiki hiyo pesa unless kama waliamua kutoa pesa nyingi kwenye cast kuliko production

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona trailer na alieharibu si mwingine ni mwanadada wema. Ameharibu sana yani bora hata asingekuwepo.
 
Tatizo sio gharama ya uandaaji bali kujua inauwezo wa kuelimisha jamii na kuilinda jamii maana film nyingi bongo huwezi angalia ata na mwanao

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Halafu utakuta movie yenyewe iko kama kigodoro

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
 
Tangu atumie uchi kumsakama Dina Marius na juzi kumshauri mtoto wa Kajala kwamba anafanana na Bill Gates kwa kufeli......ndo nazidi kushindwa kumuelewa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…