Zamaradi atoa tamko baada ya kushindwa Ubunge

Status
Not open for further replies.
Sishangai kwa maoni yake hayo kwa kuwa uwezo wake ndo umeishia hapo. Ukiona mpaka wazee wamedondoka ujue shughuli ni ndefu dada. Endelea kubana sauti Clouds hiyo ndo itakutoa. Huko unakotarajia siyo
 
hivi watu wamegeuza siasa na kuongoza kama kitu kidogo san au? Maadili yapo wapi? Hata ma model wanataka kuwa wabunge , wht is the meaning of this? Huyu anajua nini anachojivunia cha maana?
 
Yaani kwa kujiona tu kafahamika basi kaingia kwenye siasa siasa si kitu kidogo inataka watu waliopevuka kiakili wenye kutoa mawazo chanya Zamaradi bado mdogo kaa na watu wakufunde kwanza ukue ndio uingie kwenye siasa au ndio kufuata nyayo za Amina Chifupa.tulia dada muda bado ila sikukatishoi tamaa kama nia unayo kaza buti
 
Tusipime mgombea kwa mavazi ,tumpime jinsi ya kujenga na kunadi hoja zake katika jamii.Kujaribu sio kukosea,ni haki yako ya msingi.Jipe moyo kuna siku utafanikiwa.
 


Sizitaki mbichi hizi.
Mavuvuzela bana......
 
Mdau Mfunyukuzi hivi Mbunge mtarajiwa Mboni Mhita ndiye Mboni Masimba (Mboni Eto'o au Mboni Fally Ipupa????)
 
Nampongeza kwa kuthubutu, big up!

Lakini, mavazi hayo ni kama ya Ohio, Kinondoni makaburini, Buguruni Sheli, Sinza Afrika sana etc nyakati za usiku kwenye biashara za akina dadapoa.
 
Sasa wana ccm kama na huyu nae wangempigia kura ndio kabisa ningekuwa siwaelewi, huyu hakutakiwa kupata hata fomu ya kugombea ubunnge

She is better than Joseph Mbilinyi aka Sugu mbunge wa mbeya mjini Chadema
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…