Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mada inavyoonekana,aliyekuwa baby mama wa ruge mutahaba zamaradi mketema ajiunga rasmi na wasafi TV.
Na mafuvu djWakimpata LyliOmmy watakuw wamelamba Dume ase
Mbona povu mzee!? Hii ni news tu kama unazozileta wewe. Nimeshangaa sana kuona unatoa povu zito hivi.So What? Hivi angeenda BBC ingekuwaje? Tuacheni Umbwigira / Ushamba na ndiyo ' Sumu ' kubwa inayotutesa na kutumaliza Watanzania.
So What? Hivi angeenda BBC ingekuwaje? Tuacheni Umbwigira / Ushamba na ndiyo ' Sumu ' kubwa inayotutesa na kutumaliza Watanzania.
Yan huyo kimbaombao naSo What? Hivi angeenda BBC ingekuwaje? Tuacheni Umbwigira / Ushamba na ndiyo ' Sumu ' kubwa inayotutesa na kutumaliza Watanzania.
unamaanishaa....fafanua kidogo basAwe makini ili awe wakwanza kwenda mbiguni pia ...
Wewe utakua wangapiAwe makini ili awe wakwanza kwenda mbiguni pia ...
hahaha heri yako fupi zake zinakuwaga ndeeefu halafu na alama hizi / : nyingi kweli [emoji1][emoji1][emoji1]Mbona povu mzee!? Hii ni news tu kama unazozileta wewe. Nimeshangaa sana kuona unatoa povu zito hivi.
Yes ooooooo the mafuvu masterNa mafuvu dj