Zamaradi Mketema awa mtangazaji wa kwanza kuingia Wasafi TV/Radio

Nimerudia tena kuisoma hiyo post ambayo jamaa alikuwa anatoa taarifa tu. Sijaona ushamba wala Umbwigira katika post hiyo. Hebu funguka zaidi ili watu wakuelewe labda kuna unayoyajua zaidi wengine hatuyajui.

So What? Hivi angeenda BBC ingekuwaje? Tuacheni Umbwigira / Ushamba na ndiyo ' Sumu ' kubwa inayotutesa na kutumaliza Watanzania.
 
Wameanza kuleta vyumaa

Naona wengi wapo njiani
Hii TV/radio itakua moto Sana'a maana naona kuna mikono ya mabilionea hapo kina SUHAIL MUZAMIL,MZUNGU WA HARMONIZE,KINA KINJE,MAKONDA,BAADHI YA MAWAZIRI N MADONI KIBAO


SIFA %(Percent) yako ya uwekezaji tu
 
Wema,diamond, wolper,aunti ezekiel,shishi baby kuhozi baadhi ya vipindi

Kama naona venue watu wote macho kodo ndan ya WASAFI TV/RADIO
 
Kwani imekuwaje clouds? I thought ni mahusiano tu yalikufa kazo ingeendelea‍♀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…