Duh tatizo nini si katoa taarifa tuSo What? Hivi angeenda BBC ingekuwaje? Tuacheni Umbwigira / Ushamba na ndiyo ' Sumu ' kubwa inayotutesa na kutumaliza Watanzania.
So What? Hivi angeenda BBC ingekuwaje? Tuacheni Umbwigira / Ushamba na ndiyo ' Sumu ' kubwa inayotutesa na kutumaliza Watanzania.
Sasa hivi Ruhr yupo na Nandi.Kwani imekuwaje clouds? I thought ni mahusiano tu yalikufa kazo ingeendelea♀️
[emoji106]Nimerudia tena kuisoma hiyo post ambayo jamaa alikuwa anatoa taarifa tu. Sijaona ushamba wala Umbwigira katika post hiyo. Hebu funguka zaidi ili watu wakuelewe labda kuna unayoyajua zaidi wengine hatuyajui.
Duh!!!Yan huyo kimbaombao na
Anavyojiona hata mlango wa BBC
Hawez kuuona
Anawa kamua kuwakamuaSasa hivi Ruhr yupo na Nandi.
Uko sahihi inatakiwa wajipange,Ruge yuko vizuri kwenye plan huwa haleti mbwembwe mitandaoniWamempiga Ruge panapouma.
Ila na hii gear waliyoingia nayo wakifail halafu clouds ikaendelea kama kawaida wataaibika sana na itakuwa anguko la mziki wa wasafi,the have to make sure hawachemki
Classic fmHv Dee Andy yupo wapi siku hz?
[emoji106]Hata efm ilianza kwa kishindo sana na gharama kubwa ila sasa imetulizwa, cha msingi atafute watangazaji amabao hawana ajira ambao watafanya kazi kwa weledi hao wakongwe awaajiri wachache wa kumpa mawazo na muongozo ili kuepusha watangazaji kuondoka kisa wanamajina makubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmh maskin redio na tv za majizo kiki kwishney. Ila hakuna wa kuidondosha clouds
Mazee ya NGONO, Aangalie atapigwa pumb tena hapoKama mada inavyoonekana,aliyekuwa baby mama wa ruge mutahaba zamaradi mketema ajiunga rasmi na wasafi TV.
Naliona anguko la diamond
Ninani aliekwambia kwamba wasafi. Imekuja kuuwa cloudz FM ?Wamempiga Ruge panapouma.
Ila na hii gear waliyoingia nayo wakifail halafu clouds ikaendelea kama kawaida wataaibika sana na itakuwa anguko la mziki wa wasafi,the have to make sure hawachemki