Na Dina Marios naye ni mjamzito sijui mimba ya nani tena wa hapo mjengoni maana wadada wa hapo wanazungukana humo humo ndani. Mwenge hauvuki kijiji!
Huyo zama atulie ray c wa long time amesahau fina mango amekaa na ruge miaka saba akaona hapaeleweki kasepa zake
Uporo hauchachi ukiwa kwenye jokofu hata miaka mia ndio ray c kakumbuka kiporo
Hawala hana talaka na mtalaka hatongozwi
Wakuu mbona hakuna sehemu inayoonesha Zamaradi amemtaja Ruge??!naona ni Ray C tu ndio analia lia,huyo teja nae mara hii ameshaanza kuparamia wanaume,ngoja uludi ulipotoka wakipitisha bakuli hatumchangii
Na Dina Marios naye ni mjamzito sijui mimba ya nani tena wa hapo mjengoni maana wadada wa hapo wanazungukana humo humo ndani. Mwenge hauvuki kijiji!
Kwa mantiki iyo mke wa Mwisho ajiandae mana Ray C anarinyuu migegedo
me mwenyewe nilitaka nishangae kama hii habari shigongo hana,kumbe kaamua kuipotezeaZama mswahili jamani.........halfu mtoto wake aliozaa na rughe magzeti ya shigongo
hawajui maana wameikaushia kimya kimya wakati ni full udaku.....
Dina Marios ni demu wa Ruben Ndege aka Ncha Kali
Wote hao ni vichwa maji tuu ni ngumu kujua nani mgonjwa nani mzima, japo kila mmoja anajaribu kuonesha yeye mzima mwenzie mgonjwa.
Wote hao ni wa kuhurumia tuu.
Hahaaahaa!!
Na wewe acha kujishaua hapa,kama huwajui kaa kimya kwani hawana faida kwakoMkuu samahani, ndio wakina nani hao na wanahusika na nini.??
tehhehe mkuu nimeshika ugali wako/unapolia???????????????? mbona povu limekuruka hivyo.?? ila tukiachana na hayo, nimepata jibu ubongo, mwili, na fikra zako zinawakilishwa fika na avatar yako!!!!! hongera sana:clap2: kwa kuwa na faida na wahusika ambao nilikuwa siwajui.Na wewe acha kujishaua hapa,kama huwajui kaa kimya kwani hawana faida kwako