Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
stressed womanMama watatu na mtangazaji mashuhuri wa kipindi vya mahojiano Zamaradi Mketema amesema hana mpango wa kuajiriwa kwa sasa.
Akielezea uhusiano uliopo kati yake na WASAFI amesema yeye na WASAFI ni partners kwani yeye ni content provider wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama anajuaHivi anajua maana ya partner au mbwembwe tu za kujikweza?duh
Content provider ni kibarua sio muajiriwa huyu ni kibaruaThis is insane....sasa kaongea nini hapo kwani kuajiriwa ni kosa la jinai? Kwani kusema kuwa ame ajiriwa kama contents provider wa wasafi anaogopa nini wakati maelezo yake yanasema?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] watu mnajua kuwashusha watu hatariContent provider ni kibarua sio muajiriwa huyu ni kibarua