Wamamba
Senior Member
- Jan 5, 2024
- 125
- 235
Salaam
Imani bado tunayo na ni kubwa mno, makosa tumeyaona na tunaenda kuyafanyia kazi na hatuna haja ya kuwalaumu wachezaji kwani ni sehemu tu ya mchezo na kawaida kwenye mashindano yoyote yalee
Tunapita hatua ya makundi Tanzania bila shaka yeyote
Ilikuwa tusipewe furaha leo na tupewe furaha kubwa mechi ya mwisho, ni bora furaha mwishoni kuliko kufurahi leo alaf kutolewa kwa kufungwa mechi ya mwisho
Nafasi bado tunayo, tuendelee kuiombea timu yetu pendwa TAIFA STARS [emoji1241]
Picha haina uhusiano na ushindi wetu wa J5