Zambia Ghana waungana na Kenya kutayarisha Polisi wa Somalia kuchukua mamlaka Somalia

Zambia Ghana waungana na Kenya kutayarisha Polisi wa Somalia kuchukua mamlaka Somalia

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
7,251
Reaction score
7,037
Hizi video mbili zinaonyesha hatua zinazochukuliwa na KDF/AMisom kutayarisha wasomali kuanza kujilinda wenyewe wakati mission ya Amisom itafika kikomo December 2021....

Somali inahitaji polisi 32,000 kulinda nchi, kwa sasa wako only 10,000.... Zambia, Ghana, Nigeria, Sierra Leone i.e nchi jasiri, zimetuma Police experts kusaidia Kenya na Uganda kufikisha hio 32,000 by 2021...


Mbali na hapo KDF pia inajenga barabara za murram ili kuwezesha majeshi ya somalia kushika doria maeneo yote, pia kuna hospitali za level 2 zilizojengwa na KDF na zinatumika kufundisha wanafunzi wa kisomali kua madaktari, Hizo hoospitali za level 2 zinakaa nzuri kuliko hizi zetu, labda KDF wakimaliza huko waje kijiji chetu manake hii ya kwetu hawawezi kutibu kama umepigwa risasi au minor surgery, mbali na hapo pia kuna kazi za administrative ..etc






Bonus pic, KDF on the outskirts of Kismayu.... Alshabaab walipiga marufuku kuogelea/kujivinjari baharini kwahivyo hata kuogelea baharini unahitaji ulinzi mkali
KDF somali beach.jpg
 
Bado hawa wajaruo wanashika mitutu.Jiwe yuko busy na SADC.masuala ya kulinda aman endeleeni mana alshabab wana counter attack
 
Back
Top Bottom