Zambia hakuna kodi za magari au hakuna umuhimu wa kutambua magari kwa Namba?

Zambia hakuna kodi za magari au hakuna umuhimu wa kutambua magari kwa Namba?

KASULI

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
599
Reaction score
677
Nilishangaa sana nilivyofikaa Zambia, magari mengi barabarani.

Je, hii inamaanishaa Zambia hakuna kodi za magari au hakuna umuhimu wa kutambua magari kwa Namba.

Naomba kuwasilisha
 
Wewe hukumbuki kuna kipindi mliambiwa uchumi umekuwa huoni Dar es Salaam kuna magari mengi.

Na wao uchumi wao umekuwa wana magari mengi.
 
Nilishangaa sana nilivyofikaa Zambia, magari mengi barabarani...Je, hii inamaanishaa Zambia hakuna kodi za magari au hakuna umuhimu wa kutambua magari kwa Namba

Naomba kuwakilishaaaa
Vipi traffic jam?
 
Ila huyu rais wao nina wasiwasi anaweza akawaletea ½ mask
 
Kodi ndogo,utakuta mtu ana gari la maana afu anakaa kwny nyumba ya udongo.Yaani Zambia dream zao hua Ni magari sio mijengo.
 
Back
Top Bottom