KASULI JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 599 Reaction score 677 Aug 27, 2021 #1 Nilishangaa sana nilivyofikaa Zambia, magari mengi barabarani. Je, hii inamaanishaa Zambia hakuna kodi za magari au hakuna umuhimu wa kutambua magari kwa Namba. Naomba kuwasilisha
Nilishangaa sana nilivyofikaa Zambia, magari mengi barabarani. Je, hii inamaanishaa Zambia hakuna kodi za magari au hakuna umuhimu wa kutambua magari kwa Namba. Naomba kuwasilisha
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,030 Reaction score 20,391 Aug 27, 2021 #2 Hiyo nchi ya kishikaji sana. Imagine Rais amekataa kukaa Ikulu yeye ataendelea kukaa geto kwake tu.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Aug 27, 2021 #3 Wewe hukumbuki kuna kipindi mliambiwa uchumi umekuwa huoni Dar es Salaam kuna magari mengi. Na wao uchumi wao umekuwa wana magari mengi.
Wewe hukumbuki kuna kipindi mliambiwa uchumi umekuwa huoni Dar es Salaam kuna magari mengi. Na wao uchumi wao umekuwa wana magari mengi.
TASMANIA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 657 Reaction score 724 Aug 27, 2021 #4 Unamaanisha magari hayajasajiliwa??
TUJITEGEMEE JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 25,225 Reaction score 25,488 Aug 27, 2021 #5 KASULI said: Nilishangaa sana nilivyofikaa Zambia, magari mengi barabarani...Je, hii inamaanishaa Zambia hakuna kodi za magari au hakuna umuhimu wa kutambua magari kwa Namba Naomba kuwakilishaaaa Click to expand... Vipi traffic jam?
KASULI said: Nilishangaa sana nilivyofikaa Zambia, magari mengi barabarani...Je, hii inamaanishaa Zambia hakuna kodi za magari au hakuna umuhimu wa kutambua magari kwa Namba Naomba kuwakilishaaaa Click to expand... Vipi traffic jam?
KASULI JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 599 Reaction score 677 Aug 27, 2021 Thread starter #6 Kawaidaa
K KISIWAGA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 8,022 Reaction score 16,563 Aug 27, 2021 #7 Ila huyu rais wao nina wasiwasi anaweza akawaletea ½ mask
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Aug 27, 2021 #8 Kodi ndogo,utakuta mtu ana gari la maana afu anakaa kwny nyumba ya udongo.Yaani Zambia dream zao hua Ni magari sio mijengo.
Kodi ndogo,utakuta mtu ana gari la maana afu anakaa kwny nyumba ya udongo.Yaani Zambia dream zao hua Ni magari sio mijengo.