Zambia iliwahi kupoteza Marais wao wawili waliokuwa madarakani ndani ya miaka 6

Mwisho kila nafsi itaonja mauti! Ikifika zamu yako lazima ung'ate shuka tu, hakuna namna!

Kwani nae si binadamu lakini? Anapumua kama sisi ? Cheo tu na exposure vinatutofautisha!
 
Comment yako ni muhimu sana na inapaswa kuwekewa mjadala kabisa ila Cha ajabu itapuuzwa na wapenda lawama na kisha wataendelea na lawama zao... pathetic
 
Kama katiba inalinda uovu wao hata wafanyaje,bhas watz wana haki ya kushtaki Kwa Mungu na Mungu wao hutenda kwa kadiri ya mapenzi yake kuhusu maombi yao!
 
Wapiga ramli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…