Zambia: Mchungaji aliyeomba kuzikwa ili afufuke siku ya 3 kama Yesu akutwa amefariki dunia

Alafu cha ajabu atakuwa na degree hapo.

Umesema ukweli chief,, wenye degree wengi wao huwa ni wajinga, washamba washamba. Anakuwa na akili kama za mtoto wa miaka 5, hususani waafrika wengi wao wako hivyo, lina elimu kubwa na bado lijinga 😁
 
Kwa nini hao jamaa hawakutegesha kamera ndani ya jeneza ili waweze kuangalia ndani kama mambo yangekuwa magumu kwa mchungaji waweze kumfukua fasta
 
akajiona yesu wa pili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inatakiwa hata maiti yake ichapwe viboko

Ahh kuichapa maiti viboko ni bure tu, ni sawa ukatwe mkono kile kipande kilichokatwa ukichape viboko hakuna hisia zozote.
 
Mjinga mmoja akipungua duniani, huwa ni faida...
 
Nahisi kanisa la ufufuo na uzima likijongea huko huko one day yes[emoji1787][emoji1787]
 
Afadhali Mungu amemuumbua, bila shaka wafuasi wake watakuwa wameujua ukweli
 
Miaka 22 degree kwa Afrika inawezekana kweli?
 
Wangapi mmekaa karibu na watu wenye majina ya James? Mnawaonaje?

Ok. Huyu pasta unaambiwa pia alikua anatibu kwa mitishamba.

Kilichotokea ni destiny.
 
2Peter 3:8
But do not forget this one thing, dear friends: With the Lord a day is like a thousand years, and a thousand years are like a day....

Inawezekana marehemu Pasta (Mzambia) akafufuka baada ya miaka 3000. Tusubiri (kwa wale tutakao kuwepo)

NAWAZA KIMAANDISHI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…