Zambia: Mchungaji aliyeomba kuzikwa ili afufuke siku ya 3 kama Yesu akutwa amefariki dunia

Ata Hudini alikufa hivyo hivyo akijaribu kumuiga yesu.
Hapana sio hivyo

Houdini kilicho muua ni Acute Appendicitis, na ukaidi wake wa kakataa kwenda hospital kufanyiwa upasuaji, na kuendelea na show huku afya yake ikizidi kuzorota
 
Huyo ZWAZWA alidhani naye ni Yesu 🤣🤣🤣 chaliiiiiiiii
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndugu yake na gwajima. Apumzike anakostahili.
 
akajiona yesu wa pili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inatakiwa hata maiti yake ichapwe viboko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dah hawa wachungaji fake hatari sana
Sio kwamba ni wachungaji fake, hao ni wachungaji wenye imani mzitoooo we nani atakubali afe kiurahisi rahisi hivyo?
Ila sema tu ujinga umemjaa anajifanya yeye ndio yeeeeesu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpumbavu mmoja akifa sio hasara.
Kuna wapumbavu flan karibu na hapa ninapokaa wanatupigia kelele kila siku wananiudhi mno
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hao ndio wapumbavu aisee
 
Mpumbavu mmoja akifa sio hasara.
Kuna wapumbavu flan karibu na hapa ninapokaa wanatupigia kelele kila siku wananiudhi mno
Pole kwakuwaita wapumbavu
Lakini kuna siku utayatolea hesabu matusi hayo
 
Kwahio unamtisha? Hahaha
Hakuna anayekutisha
Naelewa kila Neno ambalo MTU analinena atalitolea hesabu siku ya hujumu

Mwenye kutenda aendelee kutenda
Mtakatifu aendelee kujitakasa
 
Kuna haja ya kuwa na sheria haya makanisa usiku ni kero sana na wanawasha maspeaker makubwa, iwepo fine kunyoosha hyo tabia
 
Ndo nani mkuu?
 
Aiseee

Maarifa ni kitu cha muhimu.
Mungu atusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…