Zambia: Mchungaji aliyeomba kuzikwa ili afufuke siku ya 3 kama Yesu akutwa amefariki dunia

Ukisikia RAMLI kwenda kombo ndio kama hivi
 
Imani bila kuwa na kiasi na uelewa wa kutosha ni changamoto kubwa sana
 
Hivi Gwaji Mzee WA warembo anaweza kujaribu hii?. Kuna mmoja Kahama alitaka akae na njaa siku 40 kama Yesu, alifia ya thelathini na kitu. Mambo ya Ki MUNGU yanafanyiwa majaribio na binadamu!.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bangi na ujinga vikichanganyikana haya ndiyo matokeo.
 
Kwani utaratibu wa ulaya ndio utaratibu wa Mungu?
 
Mambo kama haya ndio yanawafanya wazungu watufananishe na nyani aliyechangamka...
 
Hivi Gwaji Mzee WA warembo anaweza kujaribu hii?. Kuna mmoja Kahama alitaka akae na njaa siku 40 kama Yesu, alifia ya thelathini na kitu. Mambo ya Ki MUNGU yanafanyiwa majaribio na binadamu!.

Hahaha Gwaji Msanii tu yule....Anawaibia fedha misukule yake.
 
Huyuu jamaa alikosea kuhesabu siku kiuhalisia yesu hakufa siku tatu bali alikufa siku mbili: ijumaa-jmosi, jmosi-jpili. Daar mchungaji kapotea kwa kukosa maarifa
 
Kuna mjinga mmoja alitembea juu ya maji akafa.
Funga siku 40 bila kula kama ujafa.
Jesus ni habari nyingine kabisa
 
Anaitwa nani huyu?
 
Mambo kama haya ndio yanawafanya wazungu watufananishe na nyani aliyechangamka...
Siku utakayo jibu hili swali ndo utapata picha kamili kwanini wazungu wanatufananisha na nyani.

Hivi NYANI ni mnyama kama binadamu au binadam kama mnyama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…