Zambia mission to Mars and Moon

Zambia mission to Mars and Moon

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
2,926
Reaction score
3,530
Ilikuwa mwaka 1964 jamaa mmoja anaitwa . Edward Makuka Nkoloso , alitaka kuwapeleka wazambia 15 pamoja na paka wake, kwenye sayari ya Mars, Hilo kundi kulikuwa na wahubiri ambao kazi yao ilikuwa ni kwenda kuhubiri injili huko Mars kwa sharti moja, Kama watu huko hawata kubali kuhubiriwa wasiwalazmishwe, pia kuliwa na binti mmoja machachari, aliyejulikana kwa jina la space girl, ambaye kwa bahati mbaya akiwa mafunzoni kwenye mazoezi ya gravity ya Mars alipata ujauzito wa bwana makuka, makuka aliomba ufadhili wa UNESCO lakini kwakile kilichonekana wivu na kutopenda maendeleo serekali ya zmbia ilipiga bani ya maisha huu mpango wa kwenda sayari ya mars
download.jpg
crop.jpg
 
Back
Top Bottom