Zambia to ship Kenya’s maize by rail

Unatakiwa kuwa na akili siyo zaidi ya akili ya mende kuweza kujua Tanzania hamna njaa malawi nyinyi wakenya ndio mnapita TZ kwenda kununua huko hapa TZ mahindi 100kg bag ni Tsh 60000 mtabaki na njaa zenu maandazi nyinyi

Hahaha, povu!

Kuna njaa mbaya sana Tanzania, unapinga ripoti za wataalam? Hawa hawa wataalam waliowafahamisha ya kwamba kuna njaa Kenya?

Tunanunua mahindi ili kukabikiana na njaa, huku serikali yenyu ikipinga kuwepo kwa njaa na kujataa kuwasaidia walioathirika ati wako lazy.

Thank God mimi si Mtanzania!

Tanzania: Survey Finds Most Tanzanians Go Hungry, Despite Govt Denials
 
Umekula leo lakini au ndio umepiga dash?

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Njoo ule biriani ya kuku na wine najua una njaa halafu umezoea kula ugali kila siki[emoji2] [emoji2]
 
Kama kuna njaa TZ sasa mnakuja kuchukua mahindi ya nini ,yanatoka wapi. Somalia kuna njaa nendeni kama mtapata mahindi, kende za mbuzi nyinyi

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Kama kuna njaa TZ sasa mnakuja kuchukua mahindi ya nini ,yanatoka wapi. Somalia kuna njaa nendeni kama mtapata mahindi, kende za mbuzi nyinyi

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app

Mahindi yetu inatoka Zambia kupitia Tz. Kununua tena kutoka kwenu itakuwa ni dhuluma dhidi ya raia walala hoi ambao serikali yao haiwajali! Ati wanaitwa lazy!

Tanzania: Magufuli Warns 'No Food for Lazy People'
 
Coded message, uh? 78% of people in your country are wallowing in hunger...what coded messege are u talking bout?
Utahangaika kutafuta hizi habari mpama vidole vikatike, the fact still remain that there trucks loaded with maize on KE TZ border block by Tanzanian authority not to enter Kenya.
 
Utahangaika kutafuta hizi habari mpama vidole vikatike, the fact still remain that there trucks loaded with maize on KE TZ border block by Tanzanian authority not to enter Kenya.

But why has the Tz govt imposed a moratorium on maize exports to Kenya? Isnt it bcos there's a shortage at home???
 
Mimi hata unga ulosagiwa tz!We acha jombaa afadhali nikae njaa tu.Utausonga unanusia unaskia harufu ya albino aisee,ni haram!
 
Mahindi yetu inatoka Zambia kupitia Tz. Kununua tena kutoka kwenu itakuwa ni dhuluma dhidi ya raia walala hoi ambao serikali yao haiwajali! Ati wanaitwa lazy!

Tanzania: Magufuli Warns 'No Food for Lazy People'
Tunachakula cha kutosha kilima nyege wewe wavivu nyinyi ambao njaa kila mwaka na hamjifunzi basda ya kulima mahindi mnalima chai kunyweni chai mlale sasa mnabisha hodi ya nini kuomba msaada kenge nyinyi hebu msituchoshe
 
Mnaimba hela hela, kwanini hamuiweki kwenye sufuria mkaisonga kama ugali na kuila?

Wewe hapo kwako unakula hela?? Kawaida hela ukiwa nazo nyingi unawacha wengine wahangaike kulima halafu ule wewe. Ukiwa na hela una uhuru wa kuwatumia wengine unavyotaka maana unazo, leo hii wakulima wenu wanatamani sana wapate mwanya wa kuuza mahindi yao kwa sisi wenye vihela, sio nyie mnaowakamua unakuta mtu ana shamba kubwa lakini maskini maana analazimishwa kuuza mahindi yake kwa maskini mwenzie.
 
Mimi hata unga ulosagiwa tz!We acha jombaa afadhali nikae njaa tu.Utausonga unanusia unaskia harufu ya albino aisee,ni haram!
Mmmmh hujapiga mswaki mwezi mzima wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unga huna dawa ya meno utakuwa nayo kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…