king of zodiac
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 311
- 432
Wewe nawatoto wako 6 mchana na usiku hiyo alafu unga hamna. Wewe jamaa afadhali ungepangiwa overtime uendeleee kushusha chai toka shambani kiazi weeeLeta picha [emoji2]
Sorry, went to prepare the rice....[emoji2]Tunachakula cha kutosha kilima nyege wewe wavivu nyinyi ambao njaa kila mwaka na hamjifunzi basda ya kulima mahindi mnalima chai kunyweni chai mlale sasa mnabisha hodi ya nini kuomba msaada kenge nyinyi hebu msituchoshe
Haha, ni pale unapokuwa na fikra potofu kwamba hela inaweza kuhamisha mlima. Mara nyingine neno "Samahani" au "Tafadhali" linaweza kuwa na thamani kubwa kuloko hela za karatasi.Wewe hapo kwako unakula hela?? Kawaida hela ukiwa nazo nyingi unawacha wengine wahangaike kulima halafu ule wewe. Ukiwa na hela una uhuru wa kuwatumia wengine unavyotaka maana unazo, leo hii wakulima wenu wanatamani sana wapate mwanya wa kuuza mahindi yao kwa sisi wenye vihela, sio nyie mnaowakamua unakuta mtu ana shamba kubwa lakini maskini maana analazimishwa kuuza mahindi yake kwa maskini mwenzie.
Haohao WFP/Fao wanakuja kuchukua mahindi kupeleka kwenye njaa kama kenya na nchi nyinginezoSorry, went to prepare the rice....[emoji2]
Kila mwaka ripoti ya Wfp/Fao hutoa picha hii...
Sijui 2016/17 kutakuwaje?
Wewe,mimi bado natumia Whitedent!Kama nakumbuka vizuri tunaipata kutoka hapa hapa Namanga kwa hiyvo kuwa mpole!🙂🙂Umeonywa!🙂Mmmmh hujapiga mswaki mwezi mzima wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unga huna dawa ya meno utakuwa nayo kweli
Wewe nawatoto wako 6 mchana na usiku hiyo alafu unga hamna. Wewe jamaa afadhali ungepangiwa overtime uendeleee kushusha chai toka shambani kiazi weee
Uliitengeneza tanzania au ulijikuta upo tanzania?Jamani, tukiwaambia Tanzania is the center of gravity wakenya mnakataa. Mmejaribu kupita Congo mmeshindwa, Mai-Mai wangekula mahindi yote na wasiwape hata maganda. Sasa mnamtumia Zambia ndio aje aombe njia. MK254 njoo hapa ukubali kama Baba wa EAC ni Tanzania?
Haohao WFP/Fao wanakuja kuchukua mahindi kupeleka kwenye njaa kama kenya na nchi nyinginezo
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Huwezi kuoa wewe labda uolewe panda treni uende mombasa haraka mchicha mwiba weweDuh! Maadam ningejaliwa na watoto wengi hivyo!
Single man here. Save yourself and that beautiful, hungry sister of yours from this indignity. Give me your siz (if she is beautiful and english speaking, that is) and I promise u, I will be paying u a monthly stimped to cater for your food needs.
Sasa wewe utaoa aje ikiwa hata kujilisha wewe ni tabu?Huwezi kuoa wewe labda uolewe panda treni uende mombasa haraka mchicha mwiba wewe
Njoni tuwape mahindi masharti kilo moja goli moja[emoji23] [emoji23] [emoji23] mnapenda burebure nyinyiSasa wewe utaoa aje ikiwa hata kujilisha wewe ni tabu?
Njoni tuwape mahindi masharti kilo moja goli moja[emoji23] [emoji23] [emoji23] mnapenda burebure nyinyi
Njoo toto juri unaogopa nini veve, kichwa tu unapewa gunia veveDah, hapana. Tutanunua kwengine.
Hili lasikitisha sana, afadhali uwape hawa
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Tanzania: 78% of People Affected By Food Shortages - Study
Nonsense.Uliitengeneza tanzania au ulijikuta upo tanzania?
Mzigo wa ujinga unakuelemea kijinga kabisa.
Haha, kaka punguza stress [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uliitengeneza tanzania au ulijikuta upo tanzania?
Mzigo wa ujinga unakuelemea kijinga kabisa.
A big disappointment as you are trying to make sense out of nonsense.Nonsense.
If you've anything to argue about bring on sunshine, otherwise songa kando.A big disappointment as you are trying to make sense out of nonsense.
Ubishi wa nini na mahindi mmeshapata zambia!If you've anything to argue about bring on sunshine, otherwise songa kando.
Baba, umeingia cha kike, mimi ni mtanzania pyeeeeee....Ubishi wa nini na mahindi mmeshapata zambia!
Pia ni kweli mtapitisha mahindi yenyu hapa tanzania.
Pia ni kweli Azam atawaleteeni shehena ya mizigo yenyu.
Mlimuwekea zenggwe Azam kwenye ngano yake huu nao ni ukweli mwingine.
Mna roho mbaya sana nyie wakenya, nayo ni ukweli.
Mkuu bado una kamba mguu nn kwenye hili jukwaa,Mwanzi1 ni mbongo anayewapa dozi ya merthadone kisawa sawa hawa mungikiUbishi wa nini na mahindi mmeshapata zambia!
Pia ni kweli mtapitisha mahindi yenyu hapa tanzania.
Pia ni kweli Azam atawaleteeni shehena ya mizigo yenyu.
Mlimuwekea zenggwe Azam kwenye ngano yake huu nao ni ukweli mwingine.
Mna roho mbaya sana nyie wakenya, nayo ni ukweli.