Zambia: Waganga wakamatwa kwa jaribio la kutaka kumroga Rais Hichilema

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Polisi inawashikilia Wanaume Wawili, Jasten Mabulesse Candunde na Leonard Phiri waliokamatwa huko Lusaka, wakituhumiwa kuwa Waganga wa Kienyeji waliokuwa na jukumu la kujaribu kumroga Rais Hakainde Hichilema

Taarifa ya Polisi imesema Candunde na Phiri walikuwa wameajiriwa na Nelson Banda, mdogo wa Mbunge Emmanuel “Jay Jay” Banda. Mbunge huyo aliripotiwa kukamatwa Novemba 2024 nchini Zimbabwe kwa tuhuma za ujambazi, madai anayoyakanusha, lakini hajaonekana hadharani tangu wakati huo

Polisi walisema washukiwa hao waliwaambia kuwa walikuwa wameahidiwa zaidi ya Tsh. Milioni 171 ili kufanikisha urogi huo, huku wakisema bado wanashikiliwa kizuizini na watafikishwa mahakamani “hivi karibuni”

...............

Suspected 'witchdoctors' arrested over attempt to 'bewitch' Zambia's president

Two men have been arrested in Zambia accused of being "witchdoctors" who had been tasked with trying to bewitch the president.

The police said they had arrested Jasten Mabulesse Candunde and Leonard Phiri in the capital, Lusaka.

"Their purported mission was to use charms to harm" President Hakainde Hichilema, said the police statement, released on Friday.

Many people in the southern African country believe in - and live in fear of - witchcraft.

The police said Mr Candunde and Mr Phiri were hired by Nelson Banda, the younger brother of MP Emmanuel "Jay Jay" Banda.

The MP was reportedly arrested last month in neighbouring Zimbabwe over robbery charges, which he denies, but he has not been seen in public.

He is also accused of having escaped from custody in August as he awaited to appear in court.

The opposition Patriotic Front (PF) party, led by former President Edgar Lungu, has previously alleged that these charges are politically motivated.

Emmanuel Banda, who has been an independent MP since 2021, was previously associated with Lungu, who lost the presidency to Hichilema that year.

In their statement, the police said the MP's younger brother, Nelson, was "currently on the run".

Mr Candunde and Mr Phiri have been charged under Zambia's Witchcraft Act with "possession of charms", "professing knowledge of witchcraft" and "cruelty to wild animals".

The pair were found in possession of "assorted charms", including a live chameleon, the police added.

They told the police they had been promised more than 2m Zambian kwacha (£58,000; $73,000) for their "mission", according to the police statement.

The suspects are being held in custody and will appear in court "soon", the police said, but did not give an exact date for the hearing. They have not yet commented in public on the allegations.

Source: BBC
 
Wakinamwakatobe waende wakachukue course ya muda mfupi huko.
 
Rais kachanganyikiwa anaona kama anapata upinzani na baadhi ya maeneo wanamkataa alidhan kwenye uchaguzi atapita bila kupingwa kwa hiyo yale maeneo ambayo akubaliki wanapewa kesi kama kawaida yao..
 
Hichilema alianza vizuri sana lakini sasa amekua hatari
 
Zambia is Christian nation, na ni nchi inayoongozwa kichifu, kwa wakristo hii imekaaje?
 
It's dangerous when in this century that is dominated by science and technology there are people who still believe in metaphysics but as expected it can only happen in Africa.
 
Hivi wanaweza kuthibitisha????.....Zambiabuana basi sawa
Uchawi upo na unafanya kazi. Sema bongo mwl Nyerere aliona anaweza kuleta shida katika nchi endapo serikali itatambua uchawi ndio maana wakaupiga chini but watu wanaenda kwa waganga.

Kama haujajikita katika kusali ya kweli, uchawi unakunasa tu!
 
Polisi inawashikilia Wanaume Wawili, Jasten Mabulesse Candunde na Leonard Phiri waliokamatwa huko Lusaka, wakituhumiwa kuwa Waganga wa Kienyeji waliokuwa na jukumu la kujaribu kumroga Rais Hakainde Hichilema

Taarifa ya Polisi imesema Candunde na Phiri walikuwa wameajiriwa na Nelson Banda, mdogo wa Mbunge Emmanuel “Jay Jay” Banda. Mbunge huyo aliripotiwa kukamatwa Novemba 2024 nchini Zimbabwe kwa tuhuma za ujambazi, madai anayoyakanusha, lakini hajaonekana hadharani tangu wakati huo

Polisi walisema washukiwa hao waliwaambia kuwa walikuwa wameahidiwa zaidi ya Tsh. Milioni 171 ili kufanikisha urogi huo, huku wakisema bado wanashikiliwa kizuizini na watafikishwa mahakamani “hivi karibuni”

...............

Suspected 'witchdoctors' arrested over attempt to 'bewitch' Zambia's president

Two men have been arrested in Zambia accused of being "witchdoctors" who had been tasked with trying to bewitch the president.

The police said they had arrested Jasten Mabulesse Candunde and Leonard Phiri in the capital, Lusaka.

"Their purported mission was to use charms to harm" President Hakainde Hichilema, said the police statement, released on Friday.

Many people in the southern African country believe in - and live in fear of - witchcraft.

The police said Mr Candunde and Mr Phiri were hired by Nelson Banda, the younger brother of MP Emmanuel "Jay Jay" Banda.

The MP was reportedly arrested last month in neighbouring Zimbabwe over robbery charges, which he denies, but he has not been seen in public.

He is also accused of having escaped from custody in August as he awaited to appear in court.

The opposition Patriotic Front (PF) party, led by former President Edgar Lungu, has previously alleged that these charges are politically motivated.

Emmanuel Banda, who has been an independent MP since 2021, was previously associated with Lungu, who lost the presidency to Hichilema that year.

In their statement, the police said the MP's younger brother, Nelson, was "currently on the run".

Mr Candunde and Mr Phiri have been charged under Zambia's Witchcraft Act with "possession of charms", "professing knowledge of witchcraft" and "cruelty to wild animals".

The pair were found in possession of "assorted charms", including a live chameleon, the police added.

They told the police they had been promised more than 2m Zambian kwacha (£58,000; $73,000) for their "mission", according to the police statement.

The suspects are being held in custody and will appear in court "soon", the police said, but did not give an exact date for the hearing. They have not yet commented in public on the allegations.

Source: BBC
😃😃😃😃
 
Hata watumishi wa Mungu nao wanahudhuria kwa mganga.Huu ni uthibitisho kuwa African faith is a most powerful faith than foreign faith
 
It's dangerous when in this century that is dominated by science and technology there are people who still believe in metaphysics but as expected it can only happen in Africa.
Juju is everywhere it press down even a technology, so go easily bruder
 
Back
Top Bottom