Zambia yatangaza Njaa kali na Mgawo wa Umeme kama janga la taifa

Huku na sisi tuko kumwaga trillions kwenye umeme wa maji, na wakati huo huo hydro power zote zimekauka, sasa sijui hii mpya itakuwa na tofauti gani isikauke? tuna jua linapiga kuliko mahitaji sijui kwanini tusiwekeze huko? na upepo nao ni wa kumwaga, gas naona iliuzwa ila hatujui mnunuzi, tuwe serious kidogo matatizo yetu mengi ni ya kujitakia, tutumie akili kidogo tuu umaskini utapungua sana
 
Chadema wao wanasemaje? 😁😁

Fursa hii Kwa Wakulima Wetu na Tanzania kuuza umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…