Zamu ya Club ya Simba kupitisha bakuli la michango.

Ina Maana Yanga Wamem****** Mo Ili Simba Watembeze Bakuli.
 
Daaa!!! Sio wewe tu ukipita mitaa mingi utakuta ndala wanafurahia sana kwa tukio lililotokea. Wameacha ubinadamu pembeni sasahiv wanaombea Simba iwe sawa na walivyo wao kiuchumi.
Tatizo Wabongo tunasahau mapema... Matatizo ya Manji simba Walifurahia kwa nini ya Mo tuhuzunike hapana... Kuishi karibu na makaburi hakukufanyi kila msiba ulie.
 
Kumbuka kabla ya mo kuichukua simba baharesa alikua akitamani kuweka hisa zake
sheria haiwezi kuruhusu umiliki wa timu mbili kwenye ligi moja...nendeni TCRA mkachukue namba kwa ajili ya michango...naona Manara atakuwa anatamka namba huku analia..Dismas atachekaa Manji karudi juzi timu imelala Hotel Verde Zanzibar..usidharau dafu embe tunda la msimu
 
Mkuu mlivyofurahia kwa Manji mara hii mshasahau?
 
Embu uache ujinga kwa wall, Kwan manji karud kwenu, had useme hivo
 
hahaaaa kweli fainali uzeeni, yaaani ukisikia 'big' matatizo ndiyo hayoooo yanaenda kumkumba jirani, kweli adui mwombee njaa!
 
Wewe unauhakika gani kama mfadhiri wa Simba Sports Club kuwa harudi ?
Serikali ipo kazini na itampata MO akiwa mzima kabisa na ataendelea na majukumu yake kama kawaida.
Walishindwa wahuni wa Kibiti, wataweza hao Wazungu koko wawili...!
Kuwa na Imani na Serikali yako.


Yanga Pambaneni na hali yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…