Zamu ya Club ya Simba kupitisha bakuli la michango.

Zamu ya Club ya Simba kupitisha bakuli la michango.

Kumbuka kabla ya mo kuichukua simba baharesa alikua akitamani kuweka hisa zake
 
Daaa!!! Sio wewe tu ukipita mitaa mingi utakuta ndala wanafurahia sana kwa tukio lililotokea. Wameacha ubinadamu pembeni sasahiv wanaombea Simba iwe sawa na walivyo wao kiuchumi.
Kama kuna mtu anafurahia hili lililomtokea MO basi mtu huyo ni mpumbavu!!!
 
N
Tukiombeana, njaa, kwa mtindo huu wa kuwateka wanasaodia vilabu, nchi haitakalika.

Jali utu wa mtu kwanza, sioni sababu Ya nyie kufurahia hali hii. Mo halionyesha njia kwenye soka letu, yeye alianza kupitia Simba, mwingine angefuata kupitia Yanga.
Alafu ya Manji yalikua nafuu, alikua anajulikana yupo wapi, sasa huyu hajulini, kama sababu ni hiyo bora mumlazimishe aachane na kuisaidia Simba, Mumuachie Uhai wake na uhuru wake.
Naunga mkono hoja mkuu
 
Simba haijawai kuwa omba omba...

Simba inajitegemea kwa kitu gani?
Simba ni ombaomba kama walivyo akina Matonya na wengine maana bila misaada hakuna kitu, fedha zinazipatikana kihalali huliwa na wajanja ndio maana ni timu pekee Rais na Makamu wake wanaishi mahabusu wakiendelea na kesi inayowakabili.
 
Nawasalimia watani zangu sembo , Ghazwat, Sapta Sapta. Japo kiukweli siombei iwe hivyo maana zile tambo zenu huwa zinatukunisha kichwa kwa kweli na ndio sababu inayofanya tujitahidi kufanya tunachokifanya sasa mbali ya kuwa timu yetu ni ya kupitisha mabakuli.
Nimepishana na manara hapa k'koo anaongea peke yake tena kwa hisia kali [emoji3]
 
Kubwa Mo apatikane na familia ifanye kila namna huyu mtu akipatikana aondoke zake tu.
Kuhusu Mikia watajibeba wenyewe na kwa hali ya Mo hawezi kuwa sehemu ya Simba tena kwa nguvu ile ile ya kuwekeza mabilioni yake na hapa familia itampangia cha kufanya na ndio mwanzo wa mahangaiko ya mikia.
Mo kwanza mikia baadae .
 
Mtaadhibiwa tu, hakuna namna ya kukwepa kichapo Jumapili ya tar.21/10/2018. Mark my words.
Hahaha.. Mtani 20/10 Yanga atarejea dimbani kutafuta point 3.. Huku mabingwa watetezi wa TPL, Simba SC tutakua Taifa Stadium 21/10 tukiiadhibu vilivyo timu ya Alex Kitenge, Stand United.
 
Back
Top Bottom