zamu ya IFM sasa!!!

zamu ya IFM sasa!!!

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,557
Reaction score
1,787
Baada ya Udsm sasa ni IFM kumng'oa rais na BAATHI ya viongoz wa mpito ambao walipewa wiki 3 za kuongoza ili kupisha uchuaguz mpya baada ya kesi ya kupinga uchaguz kuisha!
1.Ametumia sh milioni 30 ndani ya wiki 3!!
2.Hataki kuondoka apishe uchaguzi mpya wakati aliteuliwa kw muda.
3.Amefukuza robo 3 ya viongoz wake baada ya kuhojiwa na kushauri muda wa kuongoza umisha waondoke,ye hataki!
Na mengine wengiiiii kibao,mpaka aibu!!
Daima pamoja, tu mtoe!
 
sasa huyu kapewa urais wa chuo imekua tatizo kiasi ataki kupisha madarakani,je akiwa raisi wa nchi siitakua tabu?
Wetu wengine bana mpaka leo hawaijui nguvu ya umma.
 
Huyo ni umbumbu wa madaraka!.....
 
Mmmmh mkuu milion 30 kwa wiki tatu alikuwa anafanya miradi gani ya wanafunzi???
 
hamna lolote huyu alikuwa mojawapo ya wagombea uchaguz ulio samimishwa na kwa ufup alikuwa hakubaliki... hivyo alivyopata urais kwa muda ndio ameamua kukomoa.
 
Back
Top Bottom