nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,408
- 2,196
MUHONGO ITAKUWA KASHATUMBUA MTU AU KAZIBA MRIJA WA MTU,UKISIKIA WIIIIIIIIIIIIIII UJUE KIMEMPATA HUYO.WanaJamii,
Kwanza napenda sana kuumpa pongezi raisi wa JMT Dr.Magufuli kwa kuendelea kutumbua majipu.Lakini Doc ngoja nikuambie kitu kimoja,mfumo wetu ndio issue.
1. Tunahitaji katiba mpya ya warioba
2. Kubadili utendaji wa kazi serikalini na jinsi wizara zinavyoingiliana kutoa urasimu na wizi.
3. Matumizi ya tekinolojia katika ngazi za serikali na tassisi zake.
Ukianza hapo mzee Magu,utakuwa umetusaidi sana sis watanzania.Sasa katika mwendelezo wa majipu katika nchi yetu yaliyotufikisha hapa,kuna tetesi mawaziri kama wanne na BOT wanaweza kuwajibishwa kwa makosa mbalimbali na uzembe,kushindwa kutoa maamuzi kwa wakati (harufu ya rushwa) na matumizi mabaya ya ofisi.
Jipu ambalo nina uhakika nalo ni Muhongo le profeseli ambaye anasemekana ameshindwa kusimamia kikamilifu wizara yake katika maeneo mengi na amekuwa akihusishwa na ugomvi baina yake na wafanyakazi wa wizara na tasisi zilizochini yake.
Inasemekana Muhongo,na hizi habari zipo pale wizarani kuwa amemzushia kamshina wa madini kuwa yeye ni mwizi huku akimtuhumu pasipo kuwa na ushahidi na akijitambaa kwamba yeye haongei na mtu asiye na Doctorate degree "akisema huu ni wakati wa wasomi kama sisi"
Muhongo,amekuwa kikwazo kwa maamuzi mengi mazuri ambayo yaliwekwa kwa muda mrefu kwenye wizra lakni ametokea kuwa na mapingamizi ilimradi aonekane yeye ndie aliyfumbua na kutatua matatizo ya watanzania.
Muhongo,anahusika sana katika kulinda taswira yake pale wizarani kwa kuwahonga waandishi wa habari,wamwandike vizuri na kumweka mbele ya magazeti kwa fedha za serikali.
Kuna mambo mengi sana ambayo mengine sio sawa kuweka kwa jamii ambayo ni siri ya serikali,lakni muhongo amekuwa kizuio cha mambo ya msingi based on his ego and arrogance na mla rushwa mkubwa.
Watu kama Muhongo na wengineo ndio wanaotukumbusha umuhimu ya mambo niliyoorodhesha hapo juu,labda kwa kiasi itapunguza urasimu,wizi,na mambo mengine mengi na kuwaleta watanzania maendeleo.
Kama nilivyosema kuna watu wanne including BOT watatumbuliwa very soon.
Nakumbuka ilipotoka habari ya sefue kuwa jipu mlikuja juu humu ndani,mkasema sio kweli,anazushiwa,baadaye nini kilitokea???Kweli haya ni majungu. We huoni hata aibu kusema pumba hizo hapa? Muhongo we wala usihangaike nae bora uache maana hakuna atakayechochea na JPM akamsikiliza. Hivi unafikiri JPM hajui utendaji wa Muhongo? Acha hizi rafiki tafuta story nyingine ulete hapa. Umbeya hausaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kwa taarifa yako muhongo hana uwezo wa kutumbua mtu . Labda wale wafagiaji wa pale wizarani na watu wadogo wadogo. Hutaki? Kaulize!MUHONGO ITAKUWA KASHATUMBUA MTU AU KAZIBA MRIJA WA MTU,UKISIKIA WIIIIIIIIIIIIIII UJUE KIMEMPATA HUYO.
Sipingani na mawazo yako mkuu. Tusubiri tuone ndio unihukumu.Kama ni majungu ndugu yangu tafuta majungu mengine hakuna mtu anayekubalika na wafanyakazi wa MEM kama Muhongo ni wezi na wabadhirifu tu ndio wanaomchukia , wewe unaonekana ni JIPU , kwa sasa hivi wizara hii Muhongo amefungua uwazi wa mawazo na watumishi kushirikishwa kwenye mambo mengi yanayohusu maendeleo na kazi za kila siku, sasa haya umeyatoa wapi wewe na majungu yako. Ameondoa kundi ambalo lilikuwa likidhani lenyewe lina haki na kila jambo kati wizara kwa fedha na mawazo bado watu wamchukie acha hizo . Umeonekana kama umetumwa wewe na hutafanikiwa . Watumishi wanamkubali maana kila jambo lipo wazi. Hata fursa za elimu ambazo zamani zilikuwa ni kwa wachache sasa zipi wazi kwa kila mtumishi.
Unaona mercenaries wake wanavyonishambulia na wengine kunitusi? Subiri mkuu! Mark my words and my post.Hivi Magu alikuwa na ajenda gani kumrudisha huyo Muhongo aliyekataliwa na wananchi? The most arrogant figure, corrupt and a liar, rejected by wananchi bungeni akajuizulu then akarudishwa nafasi ile ile. Shamefull. Now according to the karma laws, the most affected person is the one who went against wishes of the majority souls. He will eventually axe him but he will have proved to himself that he has actually became a surgeon of his own boil. (jipu). This will prove to him that he is not serious sometimes. According to his philosophy he will have contradicted himself in deed, hence psychological effect. kwa kiswahili ni kwamba atajisikia kujitumbua mwenyewe kwa hiyo atapata mfadhaiko, roho itamsuta kwa kutosikliza sauti wa wengi a.k.a sauti ya Mungu..
Dada jambo usilolijua ni kama usiku kwa giza nene.Nyie wafanyakazi wa wizara ya madini mlizoea vya kunyonga,ssa vya kuchinja hamviwezi;mlizoea mzaha mzaha kazini,sasa Muhongo ndo kiboko yenu.
Kumrejesha Muongo kulikuwa ni kosa la kiufundi tangia mwanzo! Huwezi kumfundisha Simba mzee mbinu mpya za kuwinda! That guy is egocentric and arrogant by gene formation, hawezi kubadilika!WanaJamii,
Kwanza napenda sana kuumpa pongezi raisi wa JMT Dr.Magufuli kwa kuendelea kutumbua majipu.Lakini Doc ngoja nikuambie kitu kimoja,mfumo wetu ndio issue.
1. Tunahitaji katiba mpya ya warioba
2. Kubadili utendaji wa kazi serikalini na jinsi wizara zinavyoingiliana kutoa urasimu na wizi.
3. Matumizi ya tekinolojia katika ngazi za serikali na tassisi zake.
Ukianza hapo mzee Magu,utakuwa umetusaidi sana sis watanzania.Sasa katika mwendelezo wa majipu katika nchi yetu yaliyotufikisha hapa,kuna tetesi mawaziri kama wanne na BOT wanaweza kuwajibishwa kwa makosa mbalimbali na uzembe,kushindwa kutoa maamuzi kwa wakati (harufu ya rushwa) na matumizi mabaya ya ofisi.
Jipu ambalo nina uhakika nalo ni Muhongo le profeseli ambaye anasemekana ameshindwa kusimamia kikamilifu wizara yake katika maeneo mengi na amekuwa akihusishwa na ugomvi baina yake na wafanyakazi wa wizara na tasisi zilizochini yake.
Inasemekana Muhongo,na hizi habari zipo pale wizarani kuwa amemzushia kamshina wa madini kuwa yeye ni mwizi huku akimtuhumu pasipo kuwa na ushahidi na akijitambaa kwamba yeye haongei na mtu asiye na Doctorate degree "akisema huu ni wakati wa wasomi kama sisi"
Muhongo,amekuwa kikwazo kwa maamuzi mengi mazuri ambayo yaliwekwa kwa muda mrefu kwenye wizra lakni ametokea kuwa na mapingamizi ilimradi aonekane yeye ndie aliyfumbua na kutatua matatizo ya watanzania.
Muhongo,anahusika sana katika kulinda taswira yake pale wizarani kwa kuwahonga waandishi wa habari,wamwandike vizuri na kumweka mbele ya magazeti kwa fedha za serikali.
Kuna mambo mengi sana ambayo mengine sio sawa kuweka kwa jamii ambayo ni siri ya serikali,lakni muhongo amekuwa kizuio cha mambo ya msingi based on his ego and arrogance na mla rushwa mkubwa.
Watu kama Muhongo na wengineo ndio wanaotukumbusha umuhimu ya mambo niliyoorodhesha hapo juu,labda kwa kiasi itapunguza urasimu,wizi,na mambo mengine mengi na kuwaleta watanzania maendeleo.
Kama nilivyosema kuna watu wanne including BOT watatumbuliwa very soon.
Mkuu Muhongo ni Jembe hasa kwa sisi Wateja wa Tanesco! Jaribu kuangalia muda mfupi alioshika simbachawene linganisha na Sasa, Mnaomchukia huyu jamaa ni Mameja,wafanyakazi na wapiga dili wa madini na Tanesco, Lakini watasubiri sana na haitatokea kirahisi kama wanavyotaka wao. Muhongo piga kazi{Hapa kazi tu}.[emoji109] [emoji3]WanaJamii,
Kwanza napenda sana kuumpa pongezi raisi wa JMT Dr.Magufuli kwa kuendelea kutumbua majipu.Lakini Doc ngoja nikuambie kitu kimoja,mfumo wetu ndio issue.
1. Tunahitaji katiba mpya ya warioba
2. Kubadili utendaji wa kazi serikalini na jinsi wizara zinavyoingiliana kutoa urasimu na wizi.
3. Matumizi ya tekinolojia katika ngazi za serikali na tassisi zake.
Ukianza hapo mzee Magu,utakuwa umetusaidi sana sis watanzania.Sasa katika mwendelezo wa majipu katika nchi yetu yaliyotufikisha hapa,kuna tetesi mawaziri kama wanne na BOT wanaweza kuwajibishwa kwa makosa mbalimbali na uzembe,kushindwa kutoa maamuzi kwa wakati (harufu ya rushwa) na matumizi mabaya ya ofisi.
Jipu ambalo nina uhakika nalo ni Muhongo le profeseli ambaye anasemekana ameshindwa kusimamia kikamilifu wizara yake katika maeneo mengi na amekuwa akihusishwa na ugomvi baina yake na wafanyakazi wa wizara na tasisi zilizochini yake.
Inasemekana Muhongo,na hizi habari zipo pale wizarani kuwa amemzushia kamshina wa madini kuwa yeye ni mwizi huku akimtuhumu pasipo kuwa na ushahidi na akijitambaa kwamba yeye haongei na mtu asiye na Doctorate degree "akisema huu ni wakati wa wasomi kama sisi"
Muhongo,amekuwa kikwazo kwa maamuzi mengi mazuri ambayo yaliwekwa kwa muda mrefu kwenye wizra lakni ametokea kuwa na mapingamizi ilimradi aonekane yeye ndie aliyfumbua na kutatua matatizo ya watanzania.
Muhongo,anahusika sana katika kulinda taswira yake pale wizarani kwa kuwahonga waandishi wa habari,wamwandike vizuri na kumweka mbele ya magazeti kwa fedha za serikali.
Kuna mambo mengi sana ambayo mengine sio sawa kuweka kwa jamii ambayo ni siri ya serikali,lakni muhongo amekuwa kizuio cha mambo ya msingi based on his ego and arrogance na mla rushwa mkubwa.
Watu kama Muhongo na wengineo ndio wanaotukumbusha umuhimu ya mambo niliyoorodhesha hapo juu,labda kwa kiasi itapunguza urasimu,wizi,na mambo mengine mengi na kuwaleta watanzania maendeleo.
Kama nilivyosema kuna watu wanne including BOT watatumbuliwa very soon.
Muhongo kampigia simu Mkurugenzi wa Tanesco kwanini Mantra hawalipwa na kutaka walipwe mara moja,mkurugenzi wa Tanesco kampigia Tanesco CFO na kumgombeza kwanini Mantra hawajalipwa hadi waziri amekasirika fanya juu chini walipwe leo,hapo ilikuwa kama saa tisa alahasiri,CFO kaanza kuhangaika kutafuta dola 200,000.Tanesco inadaiwa na watu mbalimbali,hivi kila anaye dai Tanesco aende kwa waziri? Naye waziri anamasilahi gani na Mantra mpaka amgombeze mkrugenzi wa Tanesco?.....oh!....guess it was a dream...🙄