Zandaani! Mayele huyoo msimbazi

Action and Reaction

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,438
Reaction score
1,496
Habari niliyoiona live bila chenga usiku wa jana..... niliota Mayele akiwa amevaa uzi mwekundu ulioandikwa NGUVU MOJA... aisee niliruka juu, ile naruka kumbe niko kitandani, sema tu mkewangu kasafiri mana ningekula kofi.... ila inawezekana kwani nimewapa Fumbo hilo! .....
 
Inawezeka,si unajua injinia uwa anawasainisha mikataba ya miezi mitatu mitatu.
 
Where we dare to talk openly, [emoji16][emoji16][emoji23]
 
Mkuu , pamoja na kwamba wewe ni lnzitopolo bado tu hujui kinachoendelea Kati ya mayele na mmasai?. Mayele keshatolewa mahari na wamasai .Acha kuchezea nkima ya mtu . Nkima ya mtu ni sumu.
 
Aiseee mke huwa anakulamba kofi daah
 
Hizo ni changamoto za bangi tu wala isikusumbue akili hata kidogo.
 
Bangi / Bange tulizovuta Sisi zamani zilitupa sana Akili Kubwa, ila hizi mnazovuta leo zinawaongezeeni tu Upumbavu ( Upopoma ) wenu kama huu.
 
Kitendo cha kuruka hivyo kumbe hata nyie makolo mnamkubali sana Yele.

Haya sasa kusanya wenzio wote mtandaoni hapa waambie Yele ni kiboko. Waambie kwa ujumla wenu mseme mara 3 hivyo.
Nasikia ile Ngombe ya iko kufa na utapiamlo
 
Kitendo cha kuruka hivyo kumbe hata nyie makolo mnamkubali sana Yele.

Haya sasa kusanya wenzio wote mtandaoni hapa waambie Yele ni kiboko. Waambie kwa ujumla wenu mseme mara 3 hivyo.
Yes Sir! I will do it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…