ZANGE..............Gone too soon

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
6,829
Reaction score
1,303
Wa na MMU na hasa wale mliopo ama mna asili ya kanda ya nyanda za juu kusini...........tumempoteza mwenzetu Zamoyoni Ngede, mtangazaji wa redio Country FM inayorusha matangazo yake kutoka mjini Iringa.


 
Last edited by a moderator:
Sad newz,kitu gani kimesababisha aende mapema.poleni wafiwa
 
He had still a long way to go...nini kilimuuma?
Pole nyingi kwa ndugu wa marehemu!
 
Nimepokea ujumbe muda si mrefu..............nitaendelea kuwajuza taarifa kamili;

Kwa ufupi ni kwamba Le Capitein alilazwa katika hospitali ya mkoa wa Iringa akisumbuliwa na vidonda kooni na kwa siku tatu nyuma amekuwa hawezi kuongea wal kula mpka umauti ulivyomfika.

Mungu aipumzishe roho yake mahli pema peponi!

kwa wanaharakati...........zange aliwahi kufanya mahojiano na wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wakati wa uchaguzi ulipita pale mjini Iringa.
 
Reactions: LD
Mungu uturehemu vijana, shetani katuweka kwenye target yake na anatudungua ipasavyo.
Ngoma a.k.a Alshabab inatunyemelea, bodaboda zinatunyemelea, polisi wa kikwete wanaoua raia wasio na hatia kila siku wanatunyemelea sisi, majambazi yanatunyemelea, yaani pepo wa mauti anatuwinda ile mbaya.
 
RIP!

Alikuwa member JF? Hiyo Zange ndo ilikuwa ID yake au?
 
Mama wee, mbona alikuwa kijana mbichi bado! RIP Ngede....

Mie mgeni humu waweza tupatia uzi zake alizowahi weka humu jamvini? ni ombi tu mkuu
 
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
 
Mama wee, mbona alikuwa kijana mbichi bado! RIP Ngede....

Mie mgeni humu waweza tupatia uzi zake alizowahi weka humu jamvini? ni ombi tu mkuu

Najua alikuwa member humu lakini siijui id yake!

kama mods wanaweza kutusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…