ZANGE..............Gone too soon

RIP Zange. Ulipendwa hapa duniani nina uhakika (japo hatukuwahi kukutana) lakini BWANA amekupenda zaidi!
 
R.i.p Zange,nakumbuka ukisoma magazeti unamalizia msemo hv, jamani looh!
 
poleni wafiwa wote na Mungu awape faraja kipindi hiki kigumu.

Kwa kuwa wafu hawajui lolote, lakini sisi tulio hai twajua hakika ipo siku tutakufa, Basi bwana ukatuwezeshe kuzihesabu siku zetu kwa kutambua hakika duniani sio kwetu ila ni wapitaji.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake libarikiwe.
 
RIP Mpendwa,Mungu aiweke roho yako mahali pema peponi Amen
 
Kazi ya Mungu haina makosa,apumzike kwa amani,Amina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…