Zantel cannot connect to JF

Zantel cannot connect to JF

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,655
Reaction score
2,506
Siwezi kuaccess JF nikiwa natumia net ya Zantel napata error

Network Error (tcp_error)

A communication error occurred: "Operation timed out"
The Web Server may be down, too busy, or experiencing other problems preventing it from responding to requests. You may wish to try again at a later time.

For assistance, contact your network support team.

Ila nikitumia proxy website naingia kama kawa. Whats happening?
 
Siwezi kuaccess JF nikiwa natumia net ya Zantel napata error

Ila nikitumia proxy website naingia kama kawa. Whats happening?
Tumewaarifu Zantel, wanalifanyia kazi.
 
Tumewaarifu Zantel, wanalifanyia kazi.
Bahati mbaya kumbe Zantel huwa hawafanyi kazi Jumapili (the whole day) hivyo tumetuma mwakilishi wetu kuweza ku-rectify tatizo haraka iwezekanavyo.

Tatizo linaanzia Zantel kwenyewe, kwa mwenye connection ya Zantel anaweza ku-Trace root ya JF na kuona.
 
Hebu nijuze/nipatie hilo kitaalamu ni nini hasa kinachofanyika/tokea mpaka mtu ambaye anatumia connection tofauti na proxy anashindwa ku-access tovuti ya JF?
Inaweza kunisaidia hata mimi au wengine sasa na hata baadaye.
 
Tembelea hii link:

Anonymouse.org
 
Siwezi kuaccess JF nikiwa natumia net ya Zantel napata error
Tumeshirikiana na Zantel (nimeenda mwenyewe) na kila kitu kiko OK kwa Zantel customers wote kwa sasa.

Poleni mlioathirika na tatizo hili.
 
nam,i niliathirika pia -- nilishindwa kuingia JF tangu Jumamosi asubuhi. Nimearifiwa kuwa kuna baadhi ya IP zilikuwa blocked na nyingine blacklisted kwa sababu ambazo hazikuwekwa sawa. kuna ukweli katika hili?
 
Bahati mbaya kumbe Zantel huwa hawafanyi kazi Jumapili (the whole day) hivyo tumetuma mwakilishi wetu kuweza ku-rectify tatizo haraka iwezekanavyo.

Tatizo linaanzia Zantel kwenyewe, kwa mwenye connection ya Zantel anaweza ku-Trace root ya JF na kuona.

Lakini mkuu nilikuwa naweza kuingia site nyingine na kusoma e mail na hata ku-download. Sijui lakini inaonekana tatizo linaweza likawa liko kwenu pia. Nilikuwa najaribu tangu Jumamosi lakini nilishindwa hata kwenye provider wengine.
 
nam,i niliathirika pia -- nilishindwa kuingia JF tangu Jumamosi asubuhi. Nimearifiwa kuwa kuna baadhi ya IP zilikuwa blocked na nyingine blacklisted kwa sababu ambazo hazikuwekwa sawa. kuna ukweli katika hili?

It might be true. That was the same to me. I tried even that U...mu site. It was giving me error.
 
Poleni,

Nimefurahishwa na ushirikiano niliopewa na Zantel team katika kushughulikia tatizo hili.

Inapendeza kushirikiana kutatua tatizo la wateja kwa pande mbili wanazohusika nazo.

Naamini hata wanaotumia SimbaNet tatizo limekwisha
 
Back
Top Bottom