Network Error (tcp_error)
A communication error occurred: "Operation timed out"
The Web Server may be down, too busy, or experiencing other problems preventing it from responding to requests. You may wish to try again at a later time.
For assistance, contact your network support team.
Tumewaarifu Zantel, wanalifanyia kazi.Siwezi kuaccess JF nikiwa natumia net ya Zantel napata error
Ila nikitumia proxy website naingia kama kawa. Whats happening?
Bahati mbaya kumbe Zantel huwa hawafanyi kazi Jumapili (the whole day) hivyo tumetuma mwakilishi wetu kuweza ku-rectify tatizo haraka iwezekanavyo.Tumewaarifu Zantel, wanalifanyia kazi.
Hebu nijuze/nipatie hilo kitaalamu ni nini hasa kinachofanyika/tokea mpaka mtu ambaye anatumia connection tofauti na proxy anashindwa ku-access tovuti ya JF?
Inaweza kunisaidia hata mimi au wengine sasa na hata baadaye.
Tumeshirikiana na Zantel (nimeenda mwenyewe) na kila kitu kiko OK kwa Zantel customers wote kwa sasa.Siwezi kuaccess JF nikiwa natumia net ya Zantel napata error
Bahati mbaya kumbe Zantel huwa hawafanyi kazi Jumapili (the whole day) hivyo tumetuma mwakilishi wetu kuweza ku-rectify tatizo haraka iwezekanavyo.
Tatizo linaanzia Zantel kwenyewe, kwa mwenye connection ya Zantel anaweza ku-Trace root ya JF na kuona.
nam,i niliathirika pia -- nilishindwa kuingia JF tangu Jumamosi asubuhi. Nimearifiwa kuwa kuna baadhi ya IP zilikuwa blocked na nyingine blacklisted kwa sababu ambazo hazikuwekwa sawa. kuna ukweli katika hili?
Poleni,It might be true. That was the same to me. I tried even that U...mu site. It was giving me error.