Haiwezekani ninunue 500 MB juma pili leo juma nne ziwe zimeisha huu ni WIZI,au rate yenu mnakata vipi? msiniforce niwachakachue ili nitumie bure ninaweza kufanya hivyo ila niliheshimu huduma yenu inabidi na nyie mtuheshimu la sivyo nawachakachua...........
Zantel wanaboa kinoma eti ukinunua bundle na ukiimaliza kabla ya expire date hakuna kurolled back ili ujiunge na bundle ingine. Now nafanya upembuzi yakinifu about TTCL
Zantel wanaboa kinoma eti ukinunua bundle na ukiimaliza kabla ya expire date hakuna kurolled back ili ujiunge na bundle ingine. Now nafanya upembuzi yakinifu about TTCL
Huduma za Zantel kweli siyo za kuridhisha. Nimewasikia wateja wa Mjini Kigoma wakisema kuwa wametapeliwa kununua modemu zao kwa bei ya promo wakati hakuna mtandao wa internet!Modemu hizo sasa ni mapambo tu!