Zantel ni moja ya kampuni ya mawasiliano inayojiendesha kiujima sana. Ushahidi huu hapa

Mitandao yote hayo matatizo yapo.
Kitu cha msingi ni kuangalia sehemu yenye afadhali kwa upande wako.
Mfano kwa upande wangu, ingekuwa tunaruhusiwa kujiundia vifurushi wenyewe, Mimi ningeweka MBs na Dakika tu.
Njoo TTCL. Tena unachagua unataka MB ngapi na Dakika ngapi na sms ngapi.
Mfano
dk 116
MB 850
sms 34
Ni TZS 2421 kwa muda wa miezi mitatu.
 
Hata Tigo,Airtel zenji walikua wana offer zao ambazo zipo visiwani tu,sishangai hata zantel kua hivyo. Nakumbuka wakati zantel wanajatibu kuteka soko la Bara walikua wana offer nyingi huku bara kuliko zenji
Aiseee, mbinu ya kibabe sana hiyo
 
Una uwezo wa kutumia sms 100 kila siku??
 
noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…