Zantel Ni Waongo? Hawana Maadili ya Biashara?

Lyambaa

Member
Joined
Dec 17, 2007
Posts
17
Reaction score
3
Kampuni ya simu ya zantel kila ukinunua muda wa maongezi wanatuma msg ya ofa ya muda wa kuongea kulingana na pesa yako. Jana tarehe 2/3/2011 niliongeza sh. 5,000 kwenye simu yangu. Ilikuwa na sh.1,070 kabla, ikaongezeka na salio likasomeka ni sh. 6,070. Wakatuma msg na ninanukuu " Nd. Mteja umepata 1,000 Tsh kama bonus ya muda wa maongezi inapaswa itumike 03/08/2011." Mwisho wa kunukuu. Leo tarehe 3/3/2011 nimepiga simu kwa mtu mwenye line ya zantel na kuonge kwa dakika 1:42 Kuangalia salio nikakuta ni sh. 5926. Sasa najiuliza, hiyo dakika 1 sekunde 42 zantel kwenda zantel imegharimu sh. 1,144? Kumbuka sh. 1,000 ni bonus. Ina maana kila sekunde imenigharimu sh. 11.22? Hali hii sio mara ya kwanza kunitokea. Naomba kueleweshwa kuhusu hizi bonus.
 
Hii mitandao we acha tu. Niliweka buku kwenye tigo, nimefungua page ya kwanza ya yahoo hela yote imeenda na hapo hapo nikawa disconnected.
 
Kampuni ya simu ya zantel kila ukinunua muda wa maongezi wanatuma msg ya ofa ya muda wa kuongea kulingana na pesa yako. Jana tarehe 2/3/2011 niliongeza sh. 5,000 kwenye simu yangu. Ilikuwa na sh.1,070 kabla, ikaongezeka na salio likasomeka ni sh. 6,070. Wakatuma msg na ninanukuu " Nd. Mteja umepata 1,000 Tsh kama bonus ya muda wa maongezi inapaswa itumike 03/08/2011." Mwisho wa kunukuu. Leo tarehe 3/3/2011 nimepiga simu kwa mtu mwenye line ya zantel na kuonge kwa dakika 1:42 Kuangalia salio nikakuta ni sh. 5926. Sasa najiuliza, hiyo dakika 1 sekunde 42 zantel kwenda zantel imegharimu sh. 1,144? Kumbuka sh. 1,000 ni bonus. Ina maana kila sekunde imenigharimu sh. 11.22? Hali hii sio mara ya kwanza kunitokea. Naomba kueleweshwa kuhusu hizi bonus.

6070-5926=144
 
Back
Top Bottom