Nimefurahi kuona jinsi Marketers wa Zantel anavyojitahidi kutangaza huduma yao ya internet.
Binafsi namshauri aweke tanzazo lake na hapa JF. Watu hawajagundua, kwa mwezi JF inatembelewa na zaidi ya watu milioni 9 wakiwa na IP tofauti zaidi ya 20,000. Kwa Marketer anyeelewa, hapa JF kuna potential market kwa sababu tayari hawa watu wanahitaji internet ya uhakika.
Kama ni hivyo tujaribu kuwashawishi Zantel na makampuni mengine ya hapa nchini na hata ya nje ya nchi,serikali na taasisi zake na NGOs kutumia JF katika matangazo.
Hii itakuwa ni nzuri sana kwao kabla ya kufika huko kwenye mitandao ya nje kama yahoo kwasababu walengwa wengi ni hapa Tanzania kwanza kabla ya kuenda mbali zaidi.
Omutwale,Nimefurahi kuona jinsi Marketers wa Zantel anavyojitahidi kutangaza huduma yao ya internet.
Binafsi namshauri aweke tanzazo lake na hapa JF. Watu hawajagundua, kwa mwezi JF inatembelewa na zaidi ya watu milioni 9 wakiwa na IP tofauti zaidi ya 20,000. Kwa Marketer anyeelewa, hapa JF kuna potential market kwa sababu tayari hawa watu wanahitaji internet ya uhakika.
Omutwale,
Zantel si kama hawataki kutangaza hapa JF, waliweka "Targeted add" kwa kuwatumia Google, tukaliona na kuli-block.
Wao wana uwezo wa kuweka tangazo hapa na bei zetu ni fair sana tu