zantel Router unlocked!

sijui nini

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Posts
2,553
Reaction score
1,291
unaweza kutumia modem yoyote katika router yako ya huawei d100 baada ya kui unlock..normally imekuwa locked kwa zantel modems only !!
 
unaweza kutumia modem yoyote katika router yako ya huawei d100 baada ya kui unlock..normally imekuwa locked kwa zantel modems only !!

mkuu cjakuelewa vzuri unauliza swali au unatupa taarifa
 
unaweza kutumia modem yoyote katika router yako ya huawei d100 baada ya kui unlock..normally imekuwa locked kwa zantel modems only !!

i guess it`s better kama utatoa maelezo ya kina na sisi pia tufahamu kuhusiana na hii free post yako.
 
sijui,be breaf in explaining the post brother..
 
unaweza kutumia modem yoyote katika router yako ya huawei d100 baada ya kui unlock..normally imekuwa locked kwa zantel modems only !!

Unataka usaidiwe ku-unlock au umefanikiwa ku-unlock? Which is which?
 
hiyo ni taarifa wadau...!! saiz natumia modem ya zain ina lain ya voda kwenye router ya zantel...mambo mseto!! Namaanisha kwa wanaotumia routers za zantel, unaweza kuichakachua ukaweka modem yoyote ikafanya kazi!!
 
this is the firmware version (396.11.00.09.108) capable to remove network limitation on Huawei D100 Router.
Download it from this link or http://www.megaupload.com/?d=UE59P3R3 http://www.zshare.net/download/65148244aff17c80/ and read instruction inside before start

have u tried that?? just try it and you will see... i tried that also...kilichotokea najua mwenyewe... but there is another way round
 
have u tried that?? just try it and you will see... i tried that also...kilichotokea najua mwenyewe... but there is another way round

And would you mind sharing with others in the forum..........

B.P (2010)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…