banknotes000
New Member
- Mar 26, 2010
- 2
- 0
Hivi Zanzibar iliwahi kuwa na Bank Note.
Hivi Zanzibar iliwahi kuwa na Bank Note.
Mi nilifikiria ni nchi mbili zimeungana!Bwana Kabonde Zanzibar ilikuwa nchi inayojitegemea mpaka ilipomezwa na Tanganyika kuwa Tanzania.
Kwa hivyo ilikuwa na Serikali yake, mfumo wake wa fedha, na kila ambacho nchi ilipaswa kuwa nacho.