Zanzibar bidhaa nyingi za elektroniki zinauzwa kwa bei nafuu.

muggyen

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
347
Reaction score
253
Habari zenu wadau
nmesikia tetesi kwamba bidhaa za kieletroniki kama vile simu,laptops,smart tv,game consoles na nyinginezo kwa znz zinauzwa bei rahisi kutokana na ongezeko la uingiaji wa bidhaa hizo kutoka nchi za uarabuni hasa dubai
mwenye kufahamu ukweli juu ya taarifa hizi atujuze wote humu jamvini na hasa kwa kutumia mifano hai
Shukrani
 
Aya mkuu lakini hutakiwi kuogopa hatari pigana nayo
 
nikweli sisi tunaagizaga padi za ps kule zzenj ef 7 while dar n sh 15000
 
Ebana si unaona profit hiyo huwa unazileta kwa njia ya sanduku sio
Mimi ninampango wa kununua laptops je wapi naweza kupata kwa bei nzuri ili nije niuze bara
 
Simu used sawa, ila nani atanunua wakati zimejaa mpya na guarantee.
 
Mbna watu wananunua kla cku ata jf umu sema inategemea ni aina gani
 
Ebana si unaona profit hiyo huwa unazileta kwa njia ya sanduku sio
Mimi ninampango wa kununua laptops je wapi naweza kupata kwa bei nzuri ili nije niuze bara




Mkuu Muggyen

Kuhusu laptop ngapi unaweza kununua na specification zako zikoje na bei ya jumla ni ngapi unaweza afford maana siwezi kuuzia moja wala mbili minimum order ni 5 naweza kuagizishia UK lakini nipe specification zako kwanza halafu nitakutumia nilokua nazo kwa saivi pia ni used na kuchukua inabidi uje mwenyewe nitumie email yako pia kwenye PM inshallah ukinijibu tutajua tuanze wapi poa.
 
Owk
Specifications
Ram 4gb n above
Memory 750 gb n above windows 8
na mac airbook kama unazo nayo itakua poa ila ucweke oda kwanza kuna vitu nafuatilia kuhusu ninunue wap na kwa bei gan ila range yng ni from 500000-600000 au hata 750000 vipi kwa bei hizo zinafaa au tuongeze hela
Shukram mkuu
 
Mkuu Muggyen,

Hamna tabu ila sitoweza kukupatia yaani exactly specification ambazo umezitaja zitapanda na kushuka na kawaida na bei hua inapanda pia na kushuka lakini kama unauwezo wa kulipa laki saba basi kwanini usitafute mpya tuu unauwezo wa kupata kwa spec ambazo umezitaja kutoka UK sio china kwasababu kule unapata zaidi ya spec hizo lakini quality.

kila lakheri mkuu
 
ishu ni pale bandarin, wananjaa mbayaa!
 

Nisaidie nawezaje kuagiza kutoka uk tafadhali sana
 
Fake zipi bidhaa toka uk au znz
 
Desktop used aina ya DELL inch 17,yenye ukubwa wa kawaida kwa ajili ya kufundishia..Ntapata kwa bei gani Zanzibar??
 
Kaka laptop mm nipo dar napeleka znz ili kupanua soko langu. ZnZ ni ghali sana laptop. Contact me kama unataka laptop kwa jumla
 
Mimi naongelea Desktop na sio laptop...Used desktop unauzaje DELL (Platinum Dual) inch 17 zenye uwezo wa kawaida wa Processor. Nkitaka kuagiza kuanzia tano utaniuziaje, nifafanulie hapahapa kwa manufaa ya wengine pia mana si unajua tena biashara matangazo??
 

Dell 530 80GB hdck inakua na bei gan tufanye bznes,I'll nipate mzigo...
 

Unahitaji mzigo sema nikupe contact, mimi nanzo game consoles playstation 2 slim, nauza laki na elfu thamanini, nilikuwa ninazo playstation 2 kubwa kwa sasa Ninayo moja, hivyo kama unahitaji mzigo nambie nitakuuzia bei poa , Vitu gani wahitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…