K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Nov 1, 2010 #1 Habari zilizotufikia muda wanachama na wapenzi wa CUF wamejazana kwenye ofisi za ZEC mwenye taarifa kamili watupe
Habari zilizotufikia muda wanachama na wapenzi wa CUF wamejazana kwenye ofisi za ZEC mwenye taarifa kamili watupe
Avanti JF-Expert Member Joined Aug 24, 2010 Posts 1,209 Reaction score 240 Nov 1, 2010 #2 Konaball said: Habari zilizotufikia muda wanachama na wapenzi wa CUF wamejazana kwenye ofisi za ZEC mwenye taarifa kamili watupe Click to expand... Mbona hata kwingine wamejazana!!!!!!! Wanasubiri matokeo tu, ama kuna kingine?
Konaball said: Habari zilizotufikia muda wanachama na wapenzi wa CUF wamejazana kwenye ofisi za ZEC mwenye taarifa kamili watupe Click to expand... Mbona hata kwingine wamejazana!!!!!!! Wanasubiri matokeo tu, ama kuna kingine?