Habari Zenu wana jf
Kama nlivoweka title hapo juu nmesika ya kuwa znz electronics kama laptop,simu,smart tv na hata game consoles zinauzwa bei nafuu kutokana na influx ya bidhaa hizo kutoka nchi za uarabuni hasa dubai
Je taarifa hizi ni za kweli Kwa wale mnaofahamu undani wa hili Swala
Natanguliza shukrani
Karibuni mchangie mada hii kwa faida ya wana jf wote