Zanzibar: Fitina Adui wa Umoja

Kumbe ndio ukajipa kura yako tu hakuna mtu aliyekusikiliza , hivi umeweka link kama vile hujajibiwa ??

Nilikuuliza hiyo camera iliyopiga hizo picha zako ilivumbuliwa lini ???
Hivi ukijua muda iliyo vumbuliwa itakusaidia nini??
 
Pana swali la msingi hapo "Je ni yupi baina ya viongozi wa Zanzibar ambaye alitokana na kizazi cha watumwa?" Andiko jema sana hili ni uthibitisho wa tafiti iliyofanywa Makelele kuhusu ukweli wa mauaji ya mashahidi wa Uganda wakati wa Kabaka Mwanga iliyofafanuliwa na Bw. Mulindwa Muwonge wa Uganda alipozungumzia historia ya ufalme wa Baganda.
Aione ndugu yangu Mwana Kawe PASKALI
 
Nimesema andishi linatenguliwa kwa andishi jingine.
Kwanini mpaka leo, hakuna aliyeandika kupinga andishi hili hapa?!.

http://www.artsrn.ualberta.ca/amcdouga/Hist494_2014/readings/report slavery zanzibar 1895.pdf

P
Usisahau David Livingstione aliandika alimuona Tip tipu akiwapiga risasi watu mia sita kwa siku moja!!! Imagine bunduki ya kushindilia gobore sio machine gun na huo msafara wa watu mia sita wapumbavu wote!!! Tena haitoshi akaendelea na safari na msafara huohuo!!! Ikumbukwe na yeye alikuwa na bunduki yake na wapagazi wake!!! Haitoshi akila na kunywa na Tip Tippu huyohuyo cha ajabu maandiko ya kukanusha uongo wa Livingstone yapo lakini kwa makusudi hayawekwi wazi huku kwetu. Kweli wazungu walijua kutudhalilisha. Huko duniani wanajua nani alihitaji watumwa na mpaka leo wanawatumikisha watukuu wa watumwa wale wa mwili.
Tutaendelea kushikiwa akili...
 
Tatizo letu Mkuu ni kujiwekea ukomo wa kusoma vitabu na ufuatiliaji. Ukienda UK na Oman katika "makumbusho" zao kila kitu kiko wazi ni maamuzi ya mlaji kula tango analoamini linamfaa. Limeulizwa swali nalirejea ni yupi kati ya walioshiriki Mapinduzi matukufu alitokana na kizazi cha watumwa?
 
Wewe uliyepigwa buti na roho mtakatifu wako umevaa kitu gani?
Raizoni?
ww kwa upuuzi puuzi wako hadi jukwaa letu la pendwa limedumaa!
Na hiyo imekufurahisha sannaaa...
 
Catholic church si kanisa Katoliki ??

Wapi yesu alisema nina kanisa ??
Kama shababi Anzisha uzi uelimishwe [emoji12]
Unachomekea as if ndio mada husika [emoji44]
 
Uzi ulio anzisha umekushinda [emoji3][emoji3][emoji3][emoji12]
Kwa akili hiyo sahau zenj [emoji12]
Ndio mawazo ya fisi hayo, kanisa lako kwishaaa mbinu zake limebaki ufuska tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…