Vidonda tena...... !!!!?? Mbona anasema anamshukuru rais wa JMT mh. JPM kwa kufanikisha uchaguzi kwa "salama". Uchaguzi ulioisha kwa salama unakua na vidonda tena.Asante, tunafuatilia kwa makini, na haswa hotuba yake ya leo, itaponya vidonda vyote vilivyosababishwa na uchaguzi huu, japo makovu yataendelea kubaki.
P
anaangalia kwenye TvHivi Maalim Sefu yuko wap anaruhusu vipi jamaa kuapishwa kirahisi.
Wanne.Kwani ACT wamepata wawikilishi wangapi Zanzibar ?
Hivi kwani Maalim Seifu ni Mpinzani? Mpinzani ambaye anapokea mshahara wa serikali kwa cheo kikubwa alichokuwa nacho enzi hizo akiwa CCM. Poleni Upinzani wa kweli.Kwa yanayoendelea Maalim Seif kwa sasa hawezi tena kukataa cheo cha Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar.
Funzo alilipata mwaka 2015 baada ya kugomea uchaguzi wa marudio akitegemea serikali ya Mapinduzi Zanzibar itakwama.
Yaani kwa sasa atawatosa ACT-Wazalendo kama watamshinikiza asiwe sehemu ya serikali ya Dkt. Mwinyi.
Huyu bwana anatawala katika dhulma na dhambi kubwa sana. Hatapata baraka .Asante, tunafuatilia kwa makini, na haswa hotuba yake ya leo, itaponya vidonda vyote vilivyosababishwa na uchaguzi huu, japo makovu yataendelea kubaki.
P