Wanafunzi wa Zanzibar wanelewa "kiarabu" kiingereza kinachotumika kufundishia sekondari kinawashindaWana jamvi sijawahi kuona wala kusikia shule toka znz imeingia ktk ten bora katika matokeo ya ya kidato cha 4 na pia hata sijawah kupata mwanafunzi bora wale kumi toka znz kwanini?
Wana jamvi sijawahi kuona wala kusikia shule toka znz imeingia ktk ten bora katika matokeo ya ya kidato cha 4 na pia hata sijawah kupata mwanafunzi bora wale kumi toka znz kwanini?
Mimi sielewi sana lakini nadhani wanakuwa viwango vyao tofauti na vya huku bara. ila ni mawazo yangu tu. Halafu nina uhakika kabisa kuwa elimu ya juu si jambo la kimuungano ila secondary si elimu ya juu lakini sijawahi kusikia matokeo yao ebu nguja niangalie kwenye tovuti ya necta
Kama wazazi wao ndo wazee vilaza kama Mohamed Said hata top 100 hawawezi kuwepo. Pia na ule urojo wanaotumia unalemaza akili.
Ukifuatilia historia ya dunia utagundua pia watu wa visiwani huwa sio bright compared to their bara counterparts
Kama wazazi wao ndo wazee vilaza kama Mohamed Said hata top 100 hawawezi kuwepo. Pia na ule urojo wanaotumia unalemaza akili.
Ukifuatilia historia ya dunia utagundua pia watu wa visiwani huwa sio bright compared to their bara counterparts
Hapo umtoa matusi tuuuuu! Hujajibu hoja,,je nikweli wazanzibar wanazingatia sana mafunzo ya quraan na madrasa ndio mana hawajawahi kuwepo hata kwenye top 1000Hio historia ya Dunia kakuhadithia babu yako!!?
Maandishi yako tu yanaashiria kuwa wewe mtoto wa zinaa! Usie na adabu kabisa kwa wazee!
Sasa kama watu wa bara wanaakili kama zako kuna kitu hapo!!!?
Mnfnssssssssss!
Cc THE BIG SHOW Ritz Boko haram
dah we mpumbav kweli.. IQ haiaribiw na urojo.. wacha fikra potof ww..