Zanzibar haikushirikishwa muswada wa katiba waziri wa sheria wa smz ajibu hija blw

Kakke

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Posts
1,883
Reaction score
1,482
[h=1][/h]Written by Elbattawi // 12/10/2013 // Habari // 3 Comments

Na Khatib Suleiman – Zanzibar
WAZIRI wa Katiba na Sheria wa Zanzibar, Abubakar Khamis Bakari ameliambia Baraza la Wawakilishi kwamba muswada wa mabadiliko ya Katiba, uliyopitishwa na Bunge na kuzusha malumbano kwa Wabunge wa upinzani, Zanzibar haikushirikishwa katika marekebisho ya vifungu 12 vilivyoingizwa baadaye.
Abubakar alisema hayo wakati alipotakiwa kutoa ufafanuzi kuhusu ushirikishwaji wa Zanzibar katika mchakato wa marekebisho ya Katiba, ambao katika siku za hivi karibuni umezusha malumbano zaidi kwa kambi ya upinzani.
Mwakilishi wa Mji Mkongwe, Unguja Ismail Jussa (CUF), alimtaka Waziri wa Katiba na Sheria kufafanua kuhusu kauli zinazotofautiana kuhusu Zanzibar, kushirikishwa au kutokushirikishwa katika mchakato wa Katiba.
Akifafanua, Waziri Bakari alisemaw awali muswada huo uliletwa serikalini na kufanyiwa marekebisho katika maeneo ya mambo manne ambayo Zanzibar, iliyatolea mapendekezo yake na kupelekwa mbele.
“Marekebisho ya awali yaliletwa serikalini…ambapo mimi binafsi nilitoa mapendekezo kwa niaba ya serikali katika maeneo manne,” alisema Waziri Bakari.
Hata hivyo, alisema ilipofika mwezi wa Mei, kulikuwa na utaratibu mwingine wa kuongeza jumla ya vifungu 12 ambavyo hivyo Zanzibar, haikushirikishwa:
“Mimi Abubakar Khamis Bakari…Waziri mwenye dhamana ya Katiba na Sheria katika marekebisho ya muswada huo ambapo jumla ya vifungu 12 viliingizwa…sisi Zanzibar hatukushirikishwa,” alisema Waziri Bakari.
Alisema alifanya juhudi za kutafuta muswada huo uliyopitishwa Bungeni na kuona mabadiliko hayo ambayo Zanzibar, haikushirikishwa pamoja na kuingizwa kwa vifungu 12 vipya ndani ya Katiba.
Waziri huyo alisema Septemba 13, mwaka huu alimuandikia barua Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balosi Seif Ali Idd ambaye naye, aliandika barua kwa ofisi ya Waziri Mkuu, lakini hakuna majibu yaliyotolewa.
Waziri Bakari alisema amelazimika kutoa ufafanuzi huo baada ya kuwepo kwa kauli mbalimbali zenye utata, ambapo baadhi ya watu pamoja na viongozi wa vyama vya siasa, wamekuwa wakipotosha ukweli huo katika majukwaa ya kisiasa.
Chanzo: HABARILeo
 
MaCCM na saratani ya kuchakachua!shame upon them, yuko wapi JK amwambie waziri Bakari ni mwongo, mzandiki na mzushii?!
 
Written by Elbattawi // 12/10/2013 // Habari // 3 Comments

Na Khatib Suleiman – Zanzibar
WAZIRI wa Katiba na Sheria wa Zanzibar, Abubakar Khamis Bakari ameliambia Baraza la Wawakilishi kwamba muswada wa mabadiliko ya Katiba, uliyopitishwa na Bunge na kuzusha malumbano kwa Wabunge wa upinzani, Zanzibar haikushirikishwa katika marekebisho ya vifungu 12 vilivyoingizwa baadaye.
Abubakar alisema hayo wakati alipotakiwa kutoa ufafanuzi kuhusu ushirikishwaji wa Zanzibar katika mchakato wa marekebisho ya Katiba, ambao katika siku za hivi karibuni umezusha malumbano zaidi kwa kambi ya upinzani.
Mwakilishi wa Mji Mkongwe, Unguja Ismail Jussa (CUF), alimtaka Waziri wa Katiba na Sheria kufafanua kuhusu kauli zinazotofautiana kuhusu Zanzibar, kushirikishwa au kutokushirikishwa katika mchakato wa Katiba.
Akifafanua, Waziri Bakari alisemaw awali muswada huo uliletwa serikalini na kufanyiwa marekebisho katika maeneo ya mambo manne ambayo Zanzibar, iliyatolea mapendekezo yake na kupelekwa mbele.
"Marekebisho ya awali yaliletwa serikalini…ambapo mimi binafsi nilitoa mapendekezo kwa niaba ya serikali katika maeneo manne," alisema Waziri Bakari.
Hata hivyo, alisema ilipofika mwezi wa Mei, kulikuwa na utaratibu mwingine wa kuongeza jumla ya vifungu 12 ambavyo hivyo Zanzibar, haikushirikishwa:
"Mimi Abubakar Khamis Bakari…Waziri mwenye dhamana ya Katiba na Sheria katika marekebisho ya muswada huo ambapo jumla ya vifungu 12 viliingizwa…sisi Zanzibar hatukushirikishwa," alisema Waziri Bakari.
Alisema alifanya juhudi za kutafuta muswada huo uliyopitishwa Bungeni na kuona mabadiliko hayo ambayo Zanzibar, haikushirikishwa pamoja na kuingizwa kwa vifungu 12 vipya ndani ya Katiba.
Waziri huyo alisema Septemba 13, mwaka huu alimuandikia barua Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balosi Seif Ali Idd ambaye naye, aliandika barua kwa ofisi ya Waziri Mkuu, lakini hakuna majibu yaliyotolewa.
Waziri Bakari alisema amelazimika kutoa ufafanuzi huo baada ya kuwepo kwa kauli mbalimbali zenye utata, ambapo baadhi ya watu pamoja na viongozi wa vyama vya siasa, wamekuwa wakipotosha ukweli huo katika majukwaa ya kisiasa.
Chanzo: HABARILeo
Nci ni moja Tanzania na bunge ni moja na raisi wa muungano ni mmoja, hivyo swala la kusema zanzibari haikushirikishwa, ishilikishwe kama nani? zanzibar siyo nchi bali sehemu ya jamhuri wa muungano wa Tanzania, sasa lisemwalo bungeni ndilo hilohilo lisikilizwe na kutiiwa kote tanganyika na zanzibar la sivyo na Tanganyika nayo haikushilikishwa, sasa mtasemaje?

watanganyike inueni mioyo yenu na kulalamika kuwa Tanganyika haikushilikishwa katika suala zima la muswada wa katiba, maana kama Tanganyika na zanzibar ziliungana iweje leo zanzibar idai kuwa haishilikishwi wakati tanzania ni moja tuu.
 
Mkuu wa kaya alichemka sana kuwatusi watu kuwa wanafiki na wazandiki.
 
Nci ni moja Tanzania na bunge ni moja na raisi wa muungano ni mmoja, hivyo swala la kusema zanzibari haikushirikishwa, ishilikishwe kama nani? zanzibar siyo nchi bali sehemu ya jamhuri wa muungano wa Tanzania, sasa lisemwalo bungeni ndilo hilohilo lisikilizwe na kutiiwa kote tanganyika na zanzibar la sivyo na Tanganyika nayo haikushilikishwa, sasa mtasemaje?

watanganyike inueni mioyo yenu na kulalamika kuwa Tanganyika haikushilikishwa katika suala zima la muswada wa katiba, maana kama Tanganyika na zanzibar ziliungana iweje leo zanzibar idai kuwa haishilikishwi wakati tanzania ni moja tuu.
...Mwanasheria mkuu wa serikali ya Zanzbar: -kero kuu ya muungano ni "kutokuwepo kwa serikali ya Tanganyika"
 
Duuuu Balozi Seif Idd ajiudhulu kwa kusimamia urongo!
 
Nci ni moja Tanzania na bunge ni moja na raisi wa muungano ni mmoja, hivyo swala la kusema zanzibari haikushirikishwa, ishilikishwe kama nani? zanzibar siyo nchi bali sehemu ya jamhuri wa muungano wa Tanzania, sasa lisemwalo bungeni ndilo hilohilo lisikilizwe na kutiiwa kote tanganyika na zanzibar la sivyo na Tanganyika nayo haikushilikishwa, sasa mtasemaje?

watanganyike inueni mioyo yenu na kulalamika kuwa Tanganyika haikushilikishwa katika suala zima la muswada wa katiba, maana kama Tanganyika na zanzibar ziliungana iweje leo zanzibar idai kuwa haishilikishwi wakati tanzania ni moja tuu.

Tango73: unatafuta balaa hapa. Unafuta nchi ya wenzio kabisa tofauti na matakwa ya wenyewe!
 
Rais amtake radhi Mh. Tundu lissu.... cz ukweli umrshajitenga tena wazi wazi na mengi yataendelea kujitenga wataumbuka mchana kweupe maccm hayoooooooooooooooooooooooooo
 
Yeye Mfalme ndiye mwongo, mzushi, mnafiki, mpika majungu, mbabaishaji, msanii, tapeli
 
Aibu ya nani hiyo?aliyeambiwa muongo na mzandiki au aliyeyasema hayo matusi?kwa nchi za wenye masikio na wapembuzi,mtu anawajibika kwa matamshi yake.
 
Back
Top Bottom