ZANZIBAR HAINA FISADI hata mmoja

mji mkongwe

Basi hao mji mkongwe wamekudanganya. Wanaopinga muungano ni wasioelewa falsafa ya Taifa and I bet they are minority. Kuna miungano mingi iliyotengeneza Tanzania, cha kushangaza muungano pekee unaozungumziwa ni wa Zanzibar na Tanganyika, why???
 
Hbari ndiyo hiyo, bububu, nungwi, paje, chwaka, hadi mazizini na kiembe samaki acha michenzani na darajani wote hawataki muungano. Nashangaa watanganyika wasiojua hata kiswahili wanang'ang'ania muungano,
 
Habari ipi?

Hiyo "bet" yako kwamba wasiotaka Muungano ni wachache. Ambayo umeitumia kupinga hoja ya Mura, kwa kumuuliza yeye kapata wapi habari inayo imply kwamba wasiotaka Muungano ndio majority?
 
Hiyo "bet" yako kwamba wasiotaka Muungano ni wachache. Ambayo umeitumia kupinga hoja ya Mura, kwa kumuuliza yeye kapata wapi habari inayo imply kwamba wasiotaka Muungano ndio majority?

Hiyo ni bet Kuhani, bet sio habari.
 
Mura hakusema wanaopinga muungano ni majority.Soma vizuri mjadala Kuhani.
 
Hiyo ni bet Kuhani, bet sio habari.

Ndio maana hukutakiwa kuitumia kumuuliza Murra yeye kapata wapi habari inayo imply kwamba wanaotaka Muungano ni minority wakati wewe mwenyewe unakuja na hoja ya kwamba sio minority. Lakini hoja yenyewe nayo kumbe nayo ni "bet." Na wewe unaotea otea, huna facts?
 
Soma vizuri post yangu Kuhani, ina mistari mingi hii ya minority sio main point Na sielewi kwa nini umeikomalia.
 
Na hakuna mahali nilipomuuliza Mura kuhusu minority au majority.Kuhani kwa kifupi soma vizuri mjadala kabla hujaanza kuhoji.
 
Kama kuna sehemu umesema hivyo ionyeshe, na mimi nita apologize kwa kutokuwa accurate.

Wanzibari hawataki muungano, mafisadi wa bara ndio wanataka sana muungano kuwepo!

Umepata wapi taarifa hizi?

sehemu yenyewe hiyo hapo juu.
 
Kama kuna sehemu umesema hivyo ionyeshe, na mimi nita apologize kwa kutokuwa accurate.

Wewe umepinga idea kwamba wanaotaka Muungano ni minority. Ukauliza hiyo habari imepatikana wapi.

Halafu katika kuipinga na wewe unatuletea idea za "I bet" hizi hapa:

Wanaopinga muungano ni wasioelewa falsafa ya Taifa and I bet they are minority.

Tuelezee.
 
Wewe umepinga idea kwamba wanaotaka Muungano ni minority. Ukauliza hiyo habari imepatikana wapi.

Halafu katika kuipinga na wewe unatuletea idea za "I bet" hizi hapa:

Tuelezee.

Kuhani acha kutengeneza vitu visivyokuwepo rudi nyuma usome vizuri, kwani kuna ugumu gani kurudi nyuma ukaona swali nililouliza. Mura alisema wazanzibar wanapinga muungano na mafisadi wa Bara ndio wanaoutaka nikamuuliza "hizi taarifa umezipata wapi?". hakukuwa na swali lolote kuhusu minority or majority.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…