Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si watu hapa wamesema Kikwete yuko Mwanza kulazimisha ushindi wa Masha mara hii tayari yuko Zanzibar?
Ndugu mambo ya Zanzibar ni mazito sana ,jana usiku yakaribia saa 7 (Usiku wa manane)aliingia Mwinyi na Mkapa baada ya kumegewa kuwa mambo yeshaliki kwa maana CUF weshazipata matokeo yote na wanangoja ushahidi kamili ,na ndio jambo ambalo limewafanya wananchi wakusanyike na leo ni kukesha hapo ,Kikwete ameingia leo jioni na wapo sehemu flani katika hoteli za kitalii wakifanya maelewano.Si watu hapa wamesema Kikwete yuko Mwanza kulazimisha ushindi wa Masha mara hii tayari yuko Zanzibar?