Elections 2010 Zanzibar hali ni tete - Mkapa,Mwinyi,Kikwete ,Seif na Karume wapo huko

Kwa nini polisi wavalie na wawe na silaha kama hizo hii si ni kutaka kuwatisha watu.
 
Si watu hapa wamesema Kikwete yuko Mwanza kulazimisha ushindi wa Masha mara hii tayari yuko Zanzibar?
 
Si watu hapa wamesema Kikwete yuko Mwanza kulazimisha ushindi wa Masha mara hii tayari yuko Zanzibar?
Ndugu mambo ya Zanzibar ni mazito sana ,jana usiku yakaribia saa 7 (Usiku wa manane)aliingia Mwinyi na Mkapa baada ya kumegewa kuwa mambo yeshaliki kwa maana CUF weshazipata matokeo yote na wanangoja ushahidi kamili ,na ndio jambo ambalo limewafanya wananchi wakusanyike na leo ni kukesha hapo ,Kikwete ameingia leo jioni na wapo sehemu flani katika hoteli za kitalii wakifanya maelewano.
 
Nohofia Seif asije kuwasaliti wapiga kura maana mambo ya siasa hayatabiriki kabisa
 
Hawa jamaa nadhani watazunguka nchi nzima manake busubuhi 2meambiwa wako mza sasa zenji!
 
wanazidi kula pesa ya kodi yetu tu
nini wanahaha???waachie maamuzi ya wanainchi asa zanzibar
patachimbika pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…