Zanzibar Hawakutualika ktk katiba yao, sasa wanafanya nini bungen

Zanzibar Hawakutualika ktk katiba yao, sasa wanafanya nini bungen

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Wazanzibar wakati wanadiscus katiba yao hawakutualika. Sasa nashangaa walivojazana bungeni, kujadili katiba yetu wabara. Mchakato wa serikali ngap ukianza, watauana humo
 
Unamatatizo kwenye fikra mkuu hujui kuwa hii ni katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania.
 
Kumbe piga ua, ni lazima serikali 2. Mana hakutakuwa na wakati wa serikali 3, kwa sababu jina la bunge ni la muungano. Asanteni
 
Wapo kwasababu si bunge la tanganyika, ni bunge la Tanzania na hakuna Tanzania bila ya zanzibar.
 
mkuu hii ni katiba ya tanzania ikifika wakapitisha hii nadhani wakati wa utekelezaji wa kifungu cha 269 cha rasimu ya katiba ndo patakuwa kila mtu anakaa panapostahili
Wazanzibar wakati wanadiscus katiba yao hawakutualika. Sasa nashangaa walivojazana bungeni, kujadili katiba yetu wabara. Mchakato wa serikali ngap ukianza, watauana humo
 
Kama serikali ya Muungano iliridhia katiba ya Zanzibar kwa nini Tanganyika au Tanzania bara isindae katiba ya kwake kabla ya hii ya Muungano? Sasa tutakuwa na katiba mpya ya Muungano ndio tutengeneze ya bara? Sijui ni staili gani ya ufanisi!
 
Shukrani sana kwa kunielewesheni. Kwa hyo ikipita serikali 3, zitaongezwa siku 90 kujadili katiba ya tanganyika. Itakuwa imechukua siku 180. Nusu mwaka kufikia hitimisho. Pia ni ulaj kwa wajumbe 300,000x180= 54,000,000
 
Hapa kuna tatizo la uelewa. Ama kweli dunia uwanja wa fujo!!
 
mtoa elimu ndogo nn? unashndwa kujua knachofanyka bungeni dodoma kinaihusu jamhuri ya muungano wa tanzania?
 
mtoa elimu ndogo nn? unashndwa kujua knachofanyka bungeni dodoma kinaihusu jamhuri ya muungano wa tanzania?

wewe nadhan uelewa wako ndo mdogo hebu nkulize hv kwa mf. kura ya maon iamue serikal 3 c lazma bunge lisimame ili kuitafuta katiba ya tanganyika (tz bara) ambayo haipo ili waendelee na mchakato wa katiba ya muungano? au?
 
Back
Top Bottom